Wakuu,
Kwa aliye na interest,ninauza shamba langu la ekari 12 lililopo kiluvya makurunge.
Ni sehemu nzuri sana ya kufugia esp ng'ombe,kuku na kitimoto.Pia ni sehemu iliyoendelezwa,kuna...
Kumekuwa na ongezeko kubwa la simu zisizokidhi viwango vya ubora hivyo
kusababisha majanga (ajali) wakati wa matumizi wa simu hizo.
Je umewahi kununua simu ukapatwa na tatizo kama kulipuka ikiwa...
SAMSUNG MOBILE PHONE GT-S3650 2.0MP CAMERA FULL- TOUCH LCD MICROSD.
Inafanya kazi na ipo katika hali nzuri kabisa bei laki na nusu sh150,000 .
wasiliana na Habibu 0717810318
Hii laptop iko poa kabisa, tatizo ni battery imeshachoka inahitaji replacement, ukitumia kwa kuunganisha mojamoja na adapter inafanya kazi fresh kabisa
Processor Intel Core 2 Duo T5200 / 1.6 GHz...
Habari za leo wadau.
Kwa mtu aliyenao, au anayefahamu wanakoweza kupatikana, nahitaji Puppy wa kununua aina ya ROTTWELLER (pure breed).
BEI: Nitumie PM kufahamisha bei na namna ya kumpata...
kina ukubwa wa sqm 1000
kipo boko block C
Plot no....
kimepimwa na kina offer
kuna umbali wa 1km kutoka barabara kuu.
Bei ni 10,800,000 hiyo pei haina kupunguzwa
mimi ni dalali mililiki yupo ukiwa...
Hili tangazo nimelichukua jukwaa la uchumi, lakini hata wanasiasa linaweza kutufaa. Nimeongea nao kwenye simu wanasema ukiwa email utapatiwa fomu kisha utafanyiwa kazi. Kwa waliochezewa na...
Kiwanja 600msq kipo maeneo ya Majohe, 100m kutoka barabarani na kina hati kabisa. Hakuna mtu wa kati bei ni sh 8.6M
Barabara ni nzuri kabisa wakati wote.
Serious people please inbox for more...
Nyumba inapangishwa Ina vyumba vitatu vya kulala, sitting rm na kitchen. Ipo ndani ya fensi na unaweza kupaki magari mawili. Maji yapo ya mgao. Kodi ni Tsh 300,000 kwa mwezi. Kwa wale ambao wapo...
Wadau wote,
Tunatoa ushauri wa kitaalamu katika mambo yafuatayo:-
1. Uanzishwaji wa radio mpya.
- Vifaa mpaka ordering.
- Lisence regestration (TCRA)
- Human resources (Tantive...
Wadau wote,
Tunatoa ushauri wa kitaalamu katika mambo yafuatayo:-
1. Uanzishwaji wa radio mpya.
- Vifaa mpaka ordering.
- Lisence regestration (TCRA)
- Human resources (Tantive...
natafuta ofisi ya kupanga, nahitaji sehemu kulipo na ofisi zingine pia, sehemu iwe ya kuvutia kwashughuli za kiofc/isiwe frem tafadhali. mahala/sehemu from eneo la ubungo to shekilango au ubungo...
Wadau, kuna promotion/sampling ya kampuni moja tulifanya na tukakusanya majina pamoja na namba zao za simu.Kwa yule anaehitaji nimuuzie tuwasiliane.Ni contacts kama 3,000 za watu wa Dar.