Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Wadau anaejua duka la fanicha za shule kama vile viti vya plastic nzito na miguu ya chuma na desks zenye miguu ya chuma pia kwa hapa Dar wanakouza bei ya rejareja.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nyumba ya vyumba 11 inauzwa iko barabarani Kinondoni Mkwajuni. Bei milioni 70, Kwa maelezo zaidi sms au piga 07155549911
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Are you looking for a database driven software ? We are specialized in designing & developing Quality software applications to meet and exceed customer expectations. Our main areas of expertise...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mtu anayehitaji mbao za mgwina, mgelegele, mninga please pm me, zipo pia za aina nyingi.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
jamani nina simu aina ya motorola droid pro xt610 ilikuwa inatumika usa sasa tatizo ina lock nimeipeleka kariakoo wababaishaji naombeni yeyote anayejua mtaalamu atakaye weza ku unlock anisaidie...
0 Reactions
0 Replies
857 Views
Naomba msaada wa majina ya hivi viwanda kwa Kenya na Tanzania nakama unamawasiliano yao ya email au website zao utakuwa umenisaidia zaidi nataka kujaribu kufanya biashara ya madawa kutoka nje ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Office zetu zipo Mikocheni A karibu na shoppers plaza,tunajulikana kwa jina la DISOLN.Tuna-design website safi kwa matumiz ya biashara,binafs au kampun.Bei zetu zinanzia sh. 200,000 hadi...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari wandugu Kuna kiwanja kinauzwa Mtwara Mjini Kipo mtaa wa kilimahewa, kiwanja hiki kinukubwa wa eneo la mita za mraba zaidi 2300 ( kama nusu heka), Sehemu yote ya maeneo haya imepimwa ila...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Halo Kama nilivyo sema siku chache zilizo pita kwamba kiwanja kinauzwa kipo mtwara mjini, mtaa wa mjimwema, kiwanja kinaukubwa wa zaidi ya 2300 metre squre, bei yake ni 14M. Sasa nimeambatanisha...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
mileg less laki moja,manual au auto ,milango 5.naomba wenye uelewa wa haya mambo ya magari wanisaidie .aksanten
0 Reactions
11 Replies
2K Views
iphone 3g 16gb black in good condition.......price 210,000tzs ...... ....if interested pm me
0 Reactions
3 Replies
968 Views
wakuu,nauza gari aina ya Toyota Premio ya mwaka 2000,niliingiza from japan sept 2010,mileage 154000, cc 2000 ipo kwenye hali nzuri, bei 7,000,000, natumia simu ntaweka picha baadaye kidogo,kwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ninauza samsung galaxy tab 10.1 P7500 3G kwa sh laki saba tu. Ina sapoti 3G na wifi with 32gb internal memory. Ni tab yangu na nimeituma kwa mwezi mmoja. Haina mchubuko hata mmoja. Ukitaka...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
natafuta laptop used iwe na sifa zifuatazo, iwe SATA na speed isipungue 2GHZ, iwe katika hali nzuri, hata kama haina RAM na hard disk nitaweka mwenyewe, bei isizidi laki mbili(200,000). kwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
natafuta laptop used iwe na sifa zifuatazo, iwe SATA na speed isipungue 2GHZ, iwe katika hali nzuri, hata kama haina RAM na hard disk nitaweka mwenyewe, bei isizidi laki mbili(200,000). kwa yeyote...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna machine mpya kutoka india ni ya kukamua mafuta nipo Dar kwa muhitaji tuwasiliane.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wadau kuna dell d620 inauzwa hapa,ni USED ina mwaka mmoja na nusu RAM=1GB HDD=80GB and 32bit OS BEI=Tsh 280,000/= za kitanzania Matatizo 1.Betri imekufa 2.Ina small ink spot katika screen dizain...
0 Reactions
2 Replies
997 Views
Wadau kuna mdogo wangu yupo uk amemaliza masomo yake anatarajia kuja na gari ambayo alikuwa anaitumia alipokuwa huko sasa nauliza ile sheria ya msamaha wa ushuru kwa wanafunzi bado upo au...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wapendwa wajasiriamali, incubator ya mayai 120 inauzwa. Kama unahitaji twanga 0753903809
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ipo na kila kitu chake , imetumika mwezi 1 -kuna charger -earphones -box lake -manual -(software za kuflash na customized images) Haina mikwaruzo ya aina yeyote nipigie 0655123683/0759123683...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom