Kiwanja kinauzwa ( property for Sale)

Kiwanja kinauzwa ( property for Sale)

Baba Watoto

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2010
Posts
393
Reaction score
278
Kiwanja 600msq kipo maeneo ya Majohe, 100m kutoka barabarani na kina hati kabisa. Hakuna mtu wa kati bei ni sh 8.6M
Barabara ni nzuri kabisa wakati wote.
Serious people please inbox for more details or visitation.
 
Majohe iko njia ya kwenda pugu, unaweza pita Mombasa unaingia kushoto kama unakwenda Moshi Bar. @ geofreyt that's tempting lakini kwanini tusiende kuona kisha wewe mwenyewe utasema kama saba inatosha au umenipunja.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom