kampuni ya uhakika ya nyumba, viwanja, magari ya AGE LTD yaanza, utapeli wa madalali basi. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kampuni ya uhakika ya nyumba, viwanja, magari ya AGE LTD yaanza, utapeli wa madalali basi.

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Bilionea one, Aug 13, 2012.

 1. B

  Bilionea one Member

  #1
  Aug 13, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 90
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hili tangazo nimelichukua jukwaa la uchumi, lakini hata wanasiasa linaweza kutufaa. Nimeongea nao kwenye simu wanasema ukiwa email utapatiwa fomu kisha utafanyiwa kazi. Kwa waliochezewa na madalali, hili tangazo linawafaa zaidi.

  soma mwenyewe.
  Kampuni ya uhakika ya kukusaidia kukupatia mali uitakayo (Nyumba, viwanja, mashamba, magari) au kukuuzia mali unayotaka kuuza imeanzishwa na wasomi wa Chuo kikuu. Sasa huhitaji kutapeliwa na dalali asiye na ofisi wala anuwani. Kampuni inaitwa AGE LTD.

  kwa mawasiliano zaidi
  piga 0658 1234 45.
  emaili agetzltd@gmail.com
   
 2. C

  Chinga boy JF-Expert Member

  #2
  Aug 13, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 415
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Ndo walewale tu
   
 3. kupe

  kupe JF-Expert Member

  #3
  Aug 13, 2012
  Joined: Jul 26, 2012
  Messages: 1,025
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  kwani wasomi wa chuo kikuu sio wezi au hawawezi kuwa matapeli tena hao ndio wabaya sana ????????
   
 4. B

  Bilionea one Member

  #4
  Aug 13, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 90
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sasa wanakutapelije, mimi nimeona kama wao walichofanya kufanya profesionalized udalali. Basi.
  Wewe unataka nyumba ya kununua, wao wanakuonesha mwenye nyumba. Sasa, wewe unaipenda nyumba unahakiki nyumba kisha unajinunua nyumba. wanalipwa chao na muuza nyumba. Utapeli unapitia wapi?
  Tatizo langu madalali wananipeleka kwenye nyumba kumbe kibanda.
  Hawa, Jamaa wameniambia na picha watatu wekea kwa wale wanaotaka kuzinunua.
   
 5. Inanambo

  Inanambo JF-Expert Member

  #5
  Aug 13, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 2,864
  Likes Received: 1,147
  Trophy Points: 280
  Keep it up wasomi wa chuo. Wezi hawa wamezidi wanakuonyesha nyumba na mwenye nyumba kumbe feki. Na pesa ya udalali wanachukua. Ila wasijipange kutuletea wenye mali feki.
   
 6. kupe

  kupe JF-Expert Member

  #6
  Aug 13, 2012
  Joined: Jul 26, 2012
  Messages: 1,025
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  papa msofe mbona naye ni msomi lakini tapeli
   
 7. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #7
  Aug 13, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Kampuni nyingi za REAL ESTATE ambazo ziko registered ziko ok. Madalali wa mtaani wanafanya kazi kinyume na sheria kwa sababu hawalipi kodi hawako registered na serikali imekaa kimya..
   
 8. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #8
  Aug 13, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,589
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  Waambie kwanza wafungue website na wawe na mtu online full time kwa kujibu maswali ya watu. makampuni ya Japan yamefanikiwa sana kwa kuwa available kujibu maswali ya watu instantly...
   
Loading...