Nyumba hii haijakamilika. Ina vyumba vitatu vya kulala. Ipo katika kiwanja chenye ukubwa wa mita 50 kwa mita 30. Bei ya kuuzia ni sh 45mil. kukiona au maelezo ya ziada tuwasiliane kupitia 07171114409.
Nina uza sony HDR-HCIE HDV 1080i MiniDV digital camcorder , Imetumika lakini inafanya kazi na ipo katika hali nzuri sana ambayo kama mpya na kama inavyo onekana katika picha bei yake sh/milioni...
Shamba hili liko Tundwi Songani karibu na barabara itokayo Kibada Kwenda Tundwi Songani (umbali wa kilometa 26 toka Kibada). Kwa mawasiliano piga simu 0787 110 117 au email: tubuni@hotmail.com
nauza digito kamera aina ta nikon ina mega plx 14 na internal memory 8gb ni yakuchaj,ina cable zake zote,c mchina,nauza laki 2.5, piga 0652740304 its me ally riyami
kama kicha cha habari kinavyoeleza hapo juu. hii scholarship imetolewa na na TANZANIA COMMUNICATIONS REGULATORY AUTHORITY.
kama wataka jua zaidi kuhusu hii scholarship na scholarships nyingine...
Ujazo wa kiwanja ni 4,431 sqm, size yake ni 55M upana na Urefu 81M. Bei ni Tsh 45,000,000/=. Kiwanja Kipo umbali wa mita 100 kutoka ukuta wa fensi wa Ikulu Mpya. Kiwanja kimepimwa na kina Hati...
kama wewe ni mjasiliamali ama unataka kuwa mjasiliamali na unaitaji kujifunza juu ya kutengeneza Rosella wine, basi wasiliana na mimi nikufundishe kwa bei rahisi tu, mawasiliano ni 0652-110878
Hello wanaJF, heshima kwenu
Kama una swali lolote kuhusu huduma za ATM za umojaswitch tuulize kwenye twitter uswegelm au @Linassamson mara zote tumia hashtag #UmojaSwitch
tuambie kuhusu...
Nyumba Inauzwa
ipo: Ulongoni - Kinyerezi,
Sifa: Master bed room,three family rooms, Kitchen,tap water, Tanesco wired, Direct access to main road, store and public toilet, sitting room...
Freelancer Graphics Designer online in"Page Layout, Publishing, Illustrations & Adverts" na mzuri katika
Adobe photoshop, Adobe illustrator ,Adobe indesign na Coral Draw, na uzoefu wa miaka ya...
Wadau bajeti yangu ts200,000=natafuta simu ya kisasa hata used,iwe inakaa na chaji,haina usumbufu kwenye mambo ya internet na music,nikipata window mobile itakuwa safi sabAbu nimetumia siku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.