Kiwanja Kisukuru Kinahitajika. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kiwanja Kisukuru Kinahitajika.

Discussion in 'Matangazo madogo' started by KANCHI, Aug 9, 2012.

 1. KANCHI

  KANCHI JF-Expert Member

  #1
  Aug 9, 2012
  Joined: Sep 3, 2011
  Messages: 1,547
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Vp jamani wana jf mwenye maelezo atiririke bac au co.
  Size.
  Bei. nk
   
 2. Kiraka

  Kiraka JF-Expert Member

  #2
  Aug 9, 2012
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 2,552
  Likes Received: 613
  Trophy Points: 280
  Kiko 25m x30m, price 20million tzs.
   
 3. k

  kabasele Member

  #3
  Aug 13, 2012
  Joined: Jul 26, 2012
  Messages: 70
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 15
  Nauza kiwanja changu.

  Wapi?
  Kimara Mavurunza. Kilometa mbili kutoka Kimara mwisho.
  Ukubwa? mita 28 kwa 26
  Bei?
  milioni 15
  Sifa zingine?
  . Umeme upo
  . Barabara ipo mpaka kiwanjani
  . Ni sehemu ambayo tayari kumeshajengeka
  . Usafiri wa daladala upo
  . Ni karibu sana sana na barabara kubwa
  . Hakuna dalali
  Mawasiliano? 0782 230159
   
 4. B

  Ba Loreen Member

  #4
  Aug 13, 2012
  Joined: Dec 23, 2011
  Messages: 75
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kipo migombani, kina mabanda ukumbi na counter ya bar 120m
   
Loading...