Nauza shamba la ekari 12 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nauza shamba la ekari 12

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Prisoner 46664, Aug 13, 2012.

 1. Prisoner 46664

  Prisoner 46664 JF-Expert Member

  #1
  Aug 13, 2012
  Joined: Dec 18, 2010
  Messages: 1,955
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145
  Wakuu,

  Kwa aliye na interest,ninauza shamba langu la ekari 12 lililopo kiluvya makurunge.

  Ni sehemu nzuri sana ya kufugia esp ng'ombe,kuku na kitimoto.Pia ni sehemu iliyoendelezwa,kuna chumba cha mlinzi na nyumba ya kufugia kwa kuanzia.

  Bei ni TShs millioni 5 kila ekari,tutanegotiate juu ya bei ya majengo yaliyopo,ingawa haitakuwa kubwa.

  Kazi kwenu wadau.
   
 2. Somoche

  Somoche JF-Expert Member

  #2
  Aug 13, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 3,828
  Likes Received: 930
  Trophy Points: 280
  Hapo ni umbali gani kutoka barabara kuu?
   
 3. Prisoner 46664

  Prisoner 46664 JF-Expert Member

  #3
  Aug 13, 2012
  Joined: Dec 18, 2010
  Messages: 1,955
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145
  10km mkuu
   
 4. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #4
  Aug 13, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,590
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  Mkuu, samahani naomba ufafanuzi. 10km toka barabara kuu bado kunaitwa Kiluvya?
  nauliza kwa sababu kuna jamaa aliwahi kutangaza ana kiwanja kiko Mwenge km 48 toka kituo cha daladala, kumbe kiwanja kiko Bagamoyo!
   
 5. Prisoner 46664

  Prisoner 46664 JF-Expert Member

  #5
  Aug 13, 2012
  Joined: Dec 18, 2010
  Messages: 1,955
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145
  Ha ha haaa...bado ni kiluvya mkuu.ni sehemu iliyotulia sana for the long term.
   
 6. K

  Kalundebageshi Member

  #6
  Aug 13, 2012
  Joined: Jul 26, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sio Mabwepande huko??????????
   
 7. Asante

  Asante JF-Expert Member

  #7
  Aug 13, 2012
  Joined: Dec 18, 2009
  Messages: 1,964
  Likes Received: 299
  Trophy Points: 180
  Kilomita 10 toka barabara ya Morogoro, shamba lako litakuwa Kisarawe. Ni eneo zuri kwa shule, wilaya ya Kisarawe wako vizuri sana kwa kukarabati barabara zao, zinapitika mwaka mzima bila ya matatizo.
   
 8. Prisoner 46664

  Prisoner 46664 JF-Expert Member

  #8
  Aug 14, 2012
  Joined: Dec 18, 2010
  Messages: 1,955
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145
  Asante Asante
   
Loading...