Natafuta puppy - (rottweller)

bwegebwege

JF-Expert Member
Jul 30, 2010
1,068
184
Habari za leo wadau.

Kwa mtu aliyenao, au anayefahamu wanakoweza kupatikana, nahitaji Puppy wa kununua aina ya ROTTWELLER (pure breed).

BEI: Nitumie PM kufahamisha bei na namna ya kumpata

JINSIA: Awe dume (Pure breed)

Mawasiliano yote nitumie-PM

rottweiler.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom