GHARAMA YA KUAGIZA SUZUKI SWIFT 2005 (FOB) USD 1500-Msaada | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

GHARAMA YA KUAGIZA SUZUKI SWIFT 2005 (FOB) USD 1500-Msaada

Discussion in 'Matangazo madogo' started by moto2012, Aug 9, 2012.

 1. moto2012

  moto2012 JF-Expert Member

  #1
  Aug 9, 2012
  Joined: Jul 3, 2012
  Messages: 2,168
  Likes Received: 315
  Trophy Points: 180
  Naomba msaada wa kukotoa niandae kiasi gani kwa Tshs. ili kulipata hilo gari na kulisajili hapa Bongo
   
 2. hovyohovyo

  hovyohovyo JF-Expert Member

  #2
  Aug 9, 2012
  Joined: Jul 8, 2012
  Messages: 540
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Kusafirisha toka Japan mpaka Dar weka dola 900. Ukitaka Insurance labda dola 400 (optional) na ukilipia Paytrade 150 dola.
  Kodi tra (ukipitia kwenye tovuti ya TRA utapata namna ya kukokotoa kodi ya Suzuki ya mwaka huo. Huenda pamoja na registration TRA wakataka milioni nne). Clearance bado, Bima pia. Kwa uzoefu wangu, itakuwa ni mara mbili ya pesa utakayolipa ktk tt. Yaani kama muuzaji atasema gharama zote mpaka gari inafika Dar ni dola 3000. Inabd uwe na dola zingine kama hizohizo kukamilisha mchakato mzima. Kazi kwel kwel
   
 3. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #3
  Aug 9, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Kumbe Bongo imegeuka kibaka hata kimfumo! Kwanini thamani ya kuingiza gari ilingane na ya kununua? Maana gari kama Suzuki ni dogo sana na halina hata hiyo thamani na faida kiasi cha kudaiwa kulipa maelfu yote ya dola hivyo.
   
 4. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #4
  Aug 9, 2012
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,684
  Likes Received: 642
  Trophy Points: 280
  Ni kweli, gari ya 2003 nililipia almost the same price na ya kununulia.
   
 5. C

  Capiteein Member

  #5
  Aug 12, 2012
  Joined: Nov 22, 2011
  Messages: 14
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5


  Mimi nimepitia hiyo tovuti na napata jumla ya kodi zote na registration kama Tshs. 2.7M. Gharama ya gari mpaka Dar es salaam (C.I.F) inaweza kufika $2,700 (F.O.B + Freight + Inspection) ambayo kwa rate ya sasa ni kama TZS 4.3M. Jumlisha na clearing charges zingine kama TZS 700,000, utakuta gari yako inaweza kukugharimu TZS 7,700,000 kabla ya insurance, maana hatujui insurance unaweka ipi.

  Karibu na hongera sana.
   
 6. Hebrew

  Hebrew JF-Expert Member

  #6
  Aug 13, 2012
  Joined: Jul 3, 2008
  Messages: 509
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 45
  Mimi nimetoa Suzuki Jimny ya 1998 - CIF to DAR ilikuwa kama 6M na nilkalipa kodi + reg. 5.3M (yaani ni over 90% ya gari + CIF). Jumla kama 11M
  Insurance - ukienda shirika la Bima wanafanya 5% (au 3.5% ukiongea nao vizuri) ya garama yote (bei ya gari + CIF + kodi. Mfano mimi ilikuwa 11m) - full comp.
   
 7. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #7
  Aug 13, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,458
  Likes Received: 5,844
  Trophy Points: 280
  NUNUENI MATREKTA BANA TULIME.....HAYANA USHURU MKUBWA......:israel::israel:
   
Loading...