Je wewe ni mojawapo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je wewe ni mojawapo?

Discussion in 'Matangazo madogo' started by GMBDC, Aug 13, 2012.

 1. G

  GMBDC Member

  #1
  Aug 13, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kumekuwa na ongezeko kubwa la simu zisizokidhi viwango vya ubora hivyo
  kusababisha majanga (ajali) wakati wa matumizi wa simu hizo.

  Je umewahi kununua simu ukapatwa na tatizo kama kulipuka ikiwa mfukoni
  kwenye charger ama wakati wa kupokea simu, n.k?

  Tufahamishe ni simu aina gani, model gani, na ni ajali ya namna gani ulipatwa
  kwa kutuma ujumbe wenye mririko ufuatao.

  ajali*aina ya simu*model ya simu*aina ya ajali kisha tuma kwenda 15568

  mfano: ajali*Nokia*X2-01*simu ililipuka wakati naongea na simu. kisha tuma kwenda

  15568. Kwa sasa huduma hii inapatikana TIGO na VODACOM pekee ni matarajio yetu hadi
  mwisho wa wiki tutakua tayari na mitandao yote.

  Ili tuweze kupata taarifa za uhakika na sahihi please usitume ujumbe kama hujawahi kupata hilo tatizo
  tunaomba ushirikiano wenu. kwa maoni tuma email: info@gmconsultz.com
   
 2. K

  Kichakoro JF-Expert Member

  #2
  Aug 13, 2012
  Joined: Sep 10, 2008
  Messages: 1,556
  Likes Received: 1,324
  Trophy Points: 280
  Mkuu, Naunga mkono maana naamini kukiwa na taarifa ambazo ni za uhakika wananchi wanaweza kuambiwa kwa uhakika
  ni simu gani ni hatari au hata regulators (TCRA na TBS) wanaweza kufuatilia kwa karibu zaidi.

  Lakini tutapataje feedback ama research yenu ikiisha basi?
   
 3. G

  GMBDC Member

  #3
  Aug 13, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu Kichakoro,

  Tunatarajia kutoa press release kila miezi 3 na kama kutakua na cases nyingi everymonth. Lakini pia tutashauriana na Regulator wa simu namna bora ya kufanya ili public iweze kupata right information. Pia tunatarjia kuwa na website ama blog ambayo itakua inaonyesha hata picha ya hizo ajali zilizotokea.
   
 4. tcoal9

  tcoal9 JF-Expert Member

  #4
  Aug 13, 2012
  Joined: Apr 5, 2009
  Messages: 255
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Je msg moja kwenda hiyo namba (15568) inaghalimu tsh ngapi?, Ni vyema ukatujulisha.
   
 5. G

  GMBDC Member

  #5
  Aug 13, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naushukuru kwa swali. garama ni TZS 250 hakuna promotional msg wala hiden cost yaani inatozwa mara moja tu.
   
 6. K

  Kichakoro JF-Expert Member

  #6
  Aug 14, 2012
  Joined: Sep 10, 2008
  Messages: 1,556
  Likes Received: 1,324
  Trophy Points: 280
  GMBDC
  Nimekutumia email mkuu naomba nijibu tafadhali
   
Loading...