Nyumba ya Kupanga Mbezi Juu Goba Road

Nyumba ya Kupanga Mbezi Juu Goba Road

Venus

Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
12
Reaction score
0
Nyumba inapangishwa Ina vyumba vitatu vya kulala, sitting rm na kitchen. Ipo ndani ya fensi na unaweza kupaki magari mawili. Maji yapo ya mgao. Kodi ni Tsh 300,000 kwa mwezi. Kwa wale ambao wapo serious wanatafuta nyumba. wasiliana na mimi. Hii nyumba aina pesa ya udalali.Wahi sasa.
 
weka namba ya sim tumekupm hujib
 
Nikifikiria shida na adha ya maji, tangazo lako......
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom