iPhone 4s & iPhone 4 - 16gb & 32gb

iPhone 4s & iPhone 4 - 16gb & 32gb

emilwayne

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2011
Posts
265
Reaction score
19
any1 selling any of above should contact me on 0714319384
 
weka bei kaka sio tupige simu utuambie kuwa bei ni laki nne au tano. Hatutakuelewa
 
weka bei kaka sio tupige simu utuambie kuwa bei ni laki nne au tano. Hatutakuelewa

niweke bei kwani mm muuzaji??? Acha biashara za watoto wewe.... Wewe piga sema unauza kiasi gani then tujuwe tunaweza fanya biashara au laah!
 
Na wewe ndo mshabiki wa matumizi ya kiswahili mpaka Chuo. Si itakuwa balaa kweli huko vyuon

chuo gani?????????? hivi mnafikiri wote humu ndani tupo chuoni ? thats very wrong
 
Iphone 4s ya 16gb factory unlocked inapatikana na imetumika miezi 3 tu Tzs 650,000 km unataka pm me!

bro uli escape shuleni nn au hujui kusoma??? Nimeandika hapo juu nahitaji iphone 4s na contacts zangu nimetoa sasa wewe unaandika kama nahitaji niku pm. Sasa nsingehitaji au ningepata si ningefuta post.
 
Back
Top Bottom