Nafasi za kazi kupitia Facebook Page.

Nafasi za kazi kupitia Facebook Page.

Firefox

Senior Member
Joined
May 10, 2011
Posts
127
Reaction score
73
Mambo vipi wakuu.

Kama wewe ni memba wa facebook na ungependa kupata nafasi za kazi kupitia facebook, karibu u "like" facebook page yetu kwani ina updates za nafasi zote za kazi sekunde hiyo hiyo zinapokuwa posted kwenye blog yetu.

Karibu INFO TANZANIA:

http://www.facebook.com/infotanzania
 
Bora wewe, siku hizi wabongo wanashabikia page za ngono na udaku, mara jicho la mvulana, mara ze utamu, mara **** yaani page kibao za ngono na zote zina ma elfu ya likes.

Idea nzuri mkuu, keep it up.
 
Back
Top Bottom