Mwenye ma. Ya linguistics | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwenye ma. Ya linguistics

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Robson Mulabwa, Sep 25, 2012.

 1. R

  Robson Mulabwa Senior Member

  #1
  Sep 25, 2012
  Joined: May 9, 2011
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Anatafutwa mtu mwenye masters ya linguistics au english kwa ajili ya kuwa lecturer wa chuo cha jordan university college (constituent college of SAUT) morogoro tuma au peleka application yako pale mshahara ni mnono wahi sasa
   
 2. Mama Brian

  Mama Brian JF-Expert Member

  #2
  Sep 26, 2012
  Joined: Feb 7, 2010
  Messages: 321
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mshahara mnono kiasi gani robson?
   
 3. R

  Robson Mulabwa Senior Member

  #3
  Sep 26, 2012
  Joined: May 9, 2011
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kama una sifa na unahitaji tuwasiliane kwa nr 0712540700 nitakuunganisha
   
 4. mama D

  mama D JF-Expert Member

  #4
  Sep 26, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 1,755
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145


  kwani kuna usiri gani kuhusu msharara na posho?? weka kila kitu hadharani anaetaka atafatilia
  kweli matangazo ni ujuzi pia
   
Loading...