Nauza Vifaranga wa Kienyeji

Nauza Vifaranga wa Kienyeji

african2010

Member
Joined
Mar 31, 2010
Posts
98
Reaction score
12
Nauza vifaranga vya siku 14 hadi siku 28 kwa Tshs 2000 na siku kuanzia 28 na kuendelea kwa alfu 3,000.
Nitafute kwa simu Na. 0772-964436

[TABLE="width: 64"]
[TR]
[TD="width: 64, align: right"]

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Asanteni
 
Nauza vifaranga vya siku 14 hadi siku 28 kwa Tshs 2000 na siku kuanzia 28 na kuendelea kwa alfu 3,000. Nitafute kwa simu Na. 0772-964436 [TABLE="width: 64"] [TR] [TD="width: 64, align: right"] [/TD] [/TR] [/TABLE] Asanteni
mkuu, unapatikana maeneo au mkoa gani?, na hao kuku ni kabila/aina gani?
 
Hao vifaranga wa kienyeji mbegu yake ni ya asili yya wapi,kwa maana kuna wale wanapandikizwa na majogoo kutoka Pemba,wengine kuchi wa singida na wengine wa Malawi.Je wale mchanganyiko wa kienyeji na kisasa wanapatikana?
 
Vifaranga ni wa mayai ya Malawi, mimi nipo Dar, ukihitaji nakuletea popote utakapokuwepo Dar, kuanzia kuku watano. Asante. Hii biashara inalipa kama ni mtunzaji mzuri wa vifaranga, vifaranga hivyi vimechanjwa na chanjo ya Newcastle.
 
Mimi napenda walio na umri wa siku moja hadi tatu ili nianze nao mimi mwenyewe. Je naweza kupata ?
 
african2010 mbona simu yako haipatikani,mie naitaji hao vifaranga
 
Simu sasa inapatkana, Poleni kwa usumbufu uliojitokeza, vifaranga wapo wa aina zote, Nakushauri uanze nao kidogo kwa kuwa wakiwa wadogo sana wanahitaji huduma kama ya vifaranga wa kisasa, karibuni wote
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom