Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Shamba la heka 250 linauzwa

Discussion in 'Matangazo madogo' started by kashata, Sep 19, 2012.

  1. kashata

    kashata JF-Expert Member

    #1
    Sep 19, 2012
    Joined: Apr 19, 2012
    Messages: 208
    Likes Received: 14
    Trophy Points: 35
    Shamba lenye ukubwa wa heka 250 linauzwa tsh milion 300.Shamba lipo mwanza-kisesa na lipo karibu na ziwa victori,pia gari linafika mpaka shambani.Kwa mawasiliano nitwangie 0713 377066
     
  2. Facilitator

    Facilitator JF-Expert Member

    #2
    Sep 20, 2012
    Joined: Oct 30, 2010
    Messages: 2,093
    Likes Received: 173
    Trophy Points: 160
    Ok, Nauliza hivi, shamba lina title deed?? Kama yes, fanya kui scan alaf tupia hapa tufanye biashara chap
     
Loading...