Nyumba Inauzwa Vyumba 6, Jiko, Sebule Kubwa, Store Vyoo vya ndani na nje DAR

mfanga

Member
Sep 10, 2012
8
1
Nyumba inauzwa bei rahisi kabisa, eneo la Mbezi ya Kimara km 2.5 hivi kutoka Kituo cha daladal temboni, Wahi bei Rahisi madalali hawatakiwi Mwenye Nyumba no. 0782052701
 
Weka tangazo la biashara vizuri. Kawaida unatakiwa useme sifa za nyumba, kama vile hati, maji, umeme, mpya au ya zamani, tiles, ezeko, sakafu (vigae, sementi au marumaru, n.k), nafikika kwa garii au ni kulaza kwa jirani au SSM????!!!na bei. Sasa ukitangaza general hasaidii sana.
 
Weka hizi taarifa
 
haijafanyiwa finishing especially nje, no hati but only offer, umeme sola, but access to ni post 1, imemiminwa zege read to receive tiles ,ni mpya, Maji yapo ie taped water
 
hey jamani si guest, tena nilikosea kidogo, vyumba 6 na sore na kitchen inclusive hivyo ni vyumba vya kufaa kulala in 4 sorry for that
 
Kwahiyo kuweka bei unaona ni dili au unataka ubembelezwe kwanzaaa halafu ndio uweke ili u-feel kuwa wewe ni mtu wa muhimu kwakuwa unatafutwa kwa kuweka thread yako isiyo kamilika,acha hizo bana.
 
weka bei mkuu, siwezi kupiga simu wakati bei mil 100 nami uwezo wangu haujakaribia huko.
Weka bei tujue.
 
Hehehaaa..Matangazo kama haya huwa yananifurahisha kwasababu wenye kukomenti wananifanya siku yangu iende vizuuuri kabisa na kamudi kanarudi nakuwa happy.Sasa mkuu hebu wawekee bei banaa usiuze kitu halafu usumbue watu kukutafuta...
 
sor wadau nipo kwa Nadra sana Humu , ni mil. 35 negotiatiable, karibuni sana niliogopa kuweka bei ya kuanzia nisije kuwafukuza hata kabla hamjaona uzuri wa kiwanja na eneo nilisahau kuweka hapo eneo lina hewa saafi kabisa like that of beach
 
mfanga..kapicha basi maana bei nzuri...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom