Kiwanja cha serikali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kiwanja cha serikali

Discussion in 'Matangazo madogo' started by mangi waukweli, Sep 1, 2012.

 1. mangi waukweli

  mangi waukweli JF-Expert Member

  #1
  Sep 1, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 246
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nauza kiwanja kilichopimwaa na serikali kina hati miliki kabisa kipo pugu kinyamwezi walipoamishiwa watu wa kipawa i need that money urgently nauza kwa shi milion 6.5 ni pm nipo serious mwenye kutaka kwa wale wafanyabiashara ni kizuri unaweza kuombea mkopo maaana kina hati kamili ya wizara ya ardhi
   
 2. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #2
  Sep 1, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Biashara ya kibongo kweli hovyo. Mara kiwanja cha serikali mara kina hati. Muhimu ungeweka details zinazoeleweka kama Bei ukubwa na vitu muhimu kama hivyo. Kwa uzembe huu ukikosa wanunuzi unakimbilia kwa kamgambile!
   
 3. mangi waukweli

  mangi waukweli JF-Expert Member

  #3
  Sep 1, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 246
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0


  kiwanja kina HATI, ukubwa LOW DENSITY.bei MILI 6.5


  Nauza kiwanja kilichopimwaa na serikali kina hati miliki kabisa kipo pugu kinyamwezi walipoamishiwa watu wa kipawa i need that money urgently nauza kwa shi milion 6.5 ni pm nipo serious mwenye kutaka kwa wale wafanyabiashara ni kizuri unaweza kuombea mkopo maaana kina hati kamili ya wizara ya ardhi
   
 4. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #4
  Sep 1, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,084
  Likes Received: 7,312
  Trophy Points: 280
  Hatuendi hivyo mkuu,
  Una shida ya haraka ndio, but isikufanye uache details muhimu.

  Low density ndio ukubwa gani??
  Weka specific measurements kama urefu &upana,
  Pia miundombinu, neighborhood, umbali from pugu road, n.k
   
 5. u

  ureni JF-Expert Member

  #5
  Sep 3, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,272
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  Ntakupa 5m sema nilete?
   
 6. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #6
  Sep 5, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Mkuu Pugu Kinyamwezi ni mbali kidogo hata miundo mbinu yake bado iko chini kama sijakosea lakini kwa bei hiyo low density ukiongea nae mambo yanaweza kuwa siyo mabaya.
   
 7. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #7
  Sep 5, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,084
  Likes Received: 7,312
  Trophy Points: 280
  Thanks boss,
  Ngoja nimpe 5.3Mil
   
 8. t

  thatha JF-Expert Member

  #8
  Sep 10, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  mkuu usimshushe sana,hiyi bei alotaja ni sawa na bure kabisa.kumbuka low density ni eka moja iliyojaa
   
 9. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #9
  Sep 10, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Ni nani aliyesema low density ni eka moja iliyojaa? Ni mwongo!!! Low densty inaanzia sq 1201 na kuendelea ila haifiki 4800 ambayo ndyo heka!! Na viwanja vingi vya serikali low kwa miaka ya karibuni ni 1201-2400 kama kuna ambaye anapata kikubwa cha makazi zaidi ya hiki basi labda ni makazi na biashara combined!!! Sasa mleta mada cha kwako kina sq metre ngapi?
   
 10. mangi waukweli

  mangi waukweli JF-Expert Member

  #10
  Sep 19, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 246
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kama uko serious njoo ukione kwanza alafu ndiyo utalinganisha na iyo 5. its ofa but lift it up
   
 11. mangi waukweli

  mangi waukweli JF-Expert Member

  #11
  Sep 19, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 246
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mimi nauza kwasababu tu ya ksaidia mipango mingine lakini usawa huu kuuza kiwanja kwa m.6.5 ni sawa na kumpa mtu bure
   
Loading...