SHEESHA@Giraffe hotel mbezi beach

Wanabodi baada ya ajira ya kuwa ngumu nimeamua kuwa mjasiliamali.karibu tuungane mkono Giraffe hotel mbezi beach kila siku kuanzia saa 11 za jioni

Sugar wa ukweli.. kwanini usitangaze huduma zote ambazo ziko hapo hotelini, ili hata sisi tusio wa sheesha tuweze pia kujumuika kukuunga mkono, naona kama umetangaza sheesha tu, huoni kuwa unapunguza wigo?
 
nimekuelewa ndugu yangu,ila hiyo ya sheesha ndio inanihusu zaidi
 
angalia picha nimeweka sasa hivi inajieleza
Dah Sugar hiyo kitu niliona Malaika Hotel pale Mwanza ina kuwa na ladha mbalimbali na zinanukia vizuri hizo sijui tumbaku tatizo nilimuona mwanadada wa kimanga alikuwa na jamaa yake wa kizungu baada ya kuupuliza moshi nikaona anaanza kama kulegea vizuri ni kama dame kanywa konyagi,jicho lilimtoka kama vile kala kungwi tayari kwa kuimba taarabu ya mahaba,loh haya hongera kwa ujasiria mali
 
Last edited by a moderator:

kiongozi ubarikiwe sana :flypig:
 
Michezo ya watu wazima ya kuchezea moshi kwa mdomo

asante kiongozi kwa kunisaidia:A S thumbs_down::A S thumbs_down::A S thumbs_down::A S thumbs_down::A S thumbs_down::A S thumbs_down::A S thumbs_down::A S thumbs_down::A S thumbs_down:
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom