Mimi ni engineer nina kampuni ya kufanya design na project management kwenye building services, ni kampuni mpya changa ila mimi mwenyewe nina uzoefu wa miaka kumi kwenye hizo kazi. nakaribisha wateja wote wanaohitaji huduma hiyo. kwa mawasiliano zaidi piga simu namba +255718 754 694 au kwa email gearedconsult@gmail.com