Kampuni mpya jijini dar inahitaji kukodi gari la kusambazia bidhaa lenye ukubwa wa tani 3 hadi 5 kwa muda na malipo ya mwezi bila ubabaishaji!!!
Liwe kwenye hali nzuri (SIO CHAKAVU) na lenye BODI...
Habari
Mwenye kujua haya mambo ya viwanja dar, katika jiji la dar ni sehemu gani naweza pata kiwanja kizuri kama ekari 2 hivi kwa bei rahisi kwa ajili ya kujenga nyumba ya kuishi. Mitaa kama...
Gari inauzwa
Year:1987
Condition:Good
Engine:1500 cc
Model:Toyota Corolla
Transmission: Manual
Location: Dar es Salaam
Reason for sale: User travelling
Price: 3.5 million Tanzanian...
Ipo karibu na barabara , ina vyumba 4 vya kulala kimoja master, jiko na store, parking inatosha gari mpaka 7 kwa wakati mmoja . kodi ni 430,000 kwa mwezi . tuwasiliane 0657 145555 & 0755 099 291
heshima kwenu wakuu,npo dodoma,naomba kujua mashne za popcorne ntazipa wap na bei zake n sh.ngapi,nahitaji zile ndogo.natanguliza shukran,au kama kuna mtu anayo anauza siyo mbaya.
Up for SALE TSH 450,000
Used for few weeks now i got new ACER LAPTOP so im throwing this away
It is USED but no single SCRATCH on Screen nor Cover or any where
Acer Aspire One D257 with window 7...
Wadau wa JF ninauza microscopes mpya aina ya OLYMPUS with one year warant,na pia nachukua oda kwa vifaa vya maabara na mahospitalini.bei ya microscopes ni 1.6milion tu ni double power,znafaa kwa...
kama inavyoonekana nyumba ipo madale goba mpakani
ukubwa wa eneo ni robotatu ekari
kuna tofali
limepakana na barabara
nyumba ina:
Master
vyumba vitatu vyoo na bafu vya ndani
jiko na store
sebule...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.