Nyumba inapangishwa ipo kinondoni studio

Nyumba inapangishwa ipo kinondoni studio

Akiri

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2010
Posts
1,445
Reaction score
217
Ipo karibu na barabara , ina vyumba 4 vya kulala kimoja master, jiko na store, parking inatosha gari mpaka 7 kwa wakati mmoja . kodi ni 430,000 kwa mwezi . tuwasiliane 0657 145555 & 0755 099 291
 
Kinondoni wapi exact ? makaburini au ?
 
nataka vyumba viwili sitting room jiko na choo itapendeza luku yake nina laki na 80 kodi ya mwaka iwe maeneo ya mwananyamala ama kinondoni
 
nataka vyumba viwili sitting room jiko na choo itapendeza luku yake nina laki na 80 kodi ya mwaka iwe maeneo ya mwananyamala ama kinondoni
nitakutafutia kiongozi lakini pale mkwuni kuna nyumba ya vyumba 3 kimoja master gari haifiki inaishia nyumba ya 2 bei laki 2,
na pia kinondoni moscow kuna nyumba unayoitaka na mwananyamala mchangani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom