Gari ya tani 3 hadi 5 ya kukodishwa kwa mwezi inahitajika!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gari ya tani 3 hadi 5 ya kukodishwa kwa mwezi inahitajika!!!!

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Marketer, Oct 13, 2012.

 1. M

  Marketer JF-Expert Member

  #1
  Oct 13, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 261
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kampuni mpya jijini dar inahitaji kukodi gari la kusambazia bidhaa lenye ukubwa wa tani 3 hadi 5 kwa muda na malipo ya mwezi bila ubabaishaji!!!

  Liwe kwenye hali nzuri (SIO CHAKAVU) na lenye BODI YA KUFUNIKA AU KUZUNGUKWA NA MACHUMA.

  Mafuta, Dereva na service ni juu ya kampuni.

  Uwe mwenye gari na upo serious na biashara. (dalali hatakiwi)

  Ni PM bei yako ya mwisho kwa wiki na mwezi, aina ya gari, mzigo inayoweza kubeba. PM BEI YA MWISHO UNAYOTAKA, HAINA MAELEWNO, ANAETENDA BEI REASONABLE NDO ATAKAE JIPATIA TENDA!

  Mwisho wa KU PM NI JUMATANO 17/10/2012

  Shukrani!
   
 2. M

  Marketer JF-Expert Member

  #2
  Oct 15, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 261
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Please incleude na aina ya gari kama scania, fuso n.k
   
Loading...