Raum inauzwa bei poa

Mukalunyoisa

Senior Member
Mar 16, 2012
139
25
Raum inauzwa bei poa kabisa shilingi Milioni Sita (6 Million) iko katika hali nzuri kabisa. Nipigie 0658 200177
 
Mbona uwekaji wa matangazo hapa bado unakua mgumu? Yaani hapa unaona ndio umemaliza kabisa, na unategemea kupata mteja kwa style hii??

Kalaghabaho!!
 
Wakuu nina uza pia Gari RAUM-1999, METALLIC, FULL AC, 128,000KM, REG. BSX JUNE 2011, Ikiwa safari ndefu lita 1 kwa KM 14, cc 1490, body scratches kidogo sana, Haijaguswa na Fundi makenika kwenye engine wala mfumo wa umeme tangu inunuliwe, june 2011, ni service tu. BEI 8,000,000/= fixed price, ipo Mbeya city. Mtumiaji nina uhakika nayo, I just wanna have another type of vehicle. Serious buyer msg kihegam@gmail.com.
 
Tumekusikia mkuu. Ila acha kudandia matangazo/thread za watu kwa kuchomekea ya thread yako. kama una tangazo anzisha uzi ili tukusome vizuri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom