Habari wana JF.
Mimi ni kijana ninayeanza ujasiliamali, na hivi karibuni nimeanzisha biashara ya M-pesa na nafaka hapa Iringa. Napata wateja wengi sana kuliko uwezo wa mtaji wangu, nahitaji...
wadau naomba mnijulishe; Je kuna mahindi maalumu ya kutengezea bisi za biashara (yaani kuuza)?
Kama kuna mahindi maalumu yanapatikana wapi kwa bei gani?
Kiko maeneo ya tegeta njia ya kwenda wazo wanaita tegeta kwa makamba...ni eneo zuri,maji na barabara pouwa..nauza kwa vile uwezekano wa kurejea bongo kwa wakati huu ni mdogo...ukubwa ni nusu eka...
Jamani nahitaji kununua samsung galaxy tab online toka china. Naomba mwenye ufahamu juu ya online shopping anisaidie ni website gani ambayo ni reliable coz scammers nao ni wengi siku hizi.
Kwa yeyote anayejua source au origin au yanakotokea (mkoa, wilaya hata ikiwezekana vijiji maarufu kwa kilimo cha) matikiti na mapasion yanayoletwa hapa Dar es salaam.
Wadau nimeagiza gari BMW X5 ya mwaka 2001Nimenunua USd 9500. usafiri nimelipa USd2000 itawasili muda si mrefu.Kwa uzoefu wenu wadau nijiandae Tsh ngapi gari niwe nalo street. kwamaana ya kodi...
Ipo hii habari.
African budget airline start-up FastJet is to establish its first operating base at Dar es Salaam in Tanzania.
The airline, which has backing from easyJet founder Sir Stelios...
Mashine za bakery zinauzwa
Nauza mashine za bakery ambazo nilinunua uingereza zilizotumika.Mashine hizi nilinunua kwa ajili ya kuzifanyia kazi lakini sikufanikiwa kufungua kutokana na sababu...
Mashine za bakery zinauzwa
Nauza mashine za bakery ambazo nilinunua uingereza zilizotumika.Mashine hizi nilinunua kwa ajili ya kuzifanyia kazi lakini sikufanikiwa kufungua kutokana na sababu...
Je kuna mahindi maalumu ya kutengeneza bisi (pop corn) ambazo ni kwa ajili ya kuuza (kwa ajili ya biashara ya pop corn) au mahindi yoyote yale yanaweza kutumika kutengeneza pop corn?
Kama yapo au...
Kama kuna mtu anafahamu duka hapa Dar linalouza leather halisi ya kutengenezea sofa,pia kama kuna mtu anamfahamu fundi wa kutengeneza au kukarabati sofa ambazo kitambaa chake ni leather,nahitaji...
karibu kwenye blog yetu iliyoandaliwa na kutengenezwa na TZ BLOG DESIGN,Utapata bidhaa zote hususani simu kama vile HTC,BLACKBERRY,SAMSUNG,NOKIA etc,pia LAPTOP and other electronics ,PIA UNAWEZA...
Habar wakubwa, kama nilivoelezea hapo juu me naondoka kesho kwenda south kwahiyo mwenye kuweka order ya vitu hivyo plus flat screens za ukweli please tuwasiliane kwa mail baraka607@gmail.com hii...
Simu iko kwenye hali nzuri anaetaka nitamtumia picha kwa email ... Bei 350, 000/- price inashuka kidgo!!! Ina cover na screen protector tu ..
Whatsapp-0688 06 10 10 !! Txt or CaLL 0656 664 714
Katika dunia ya sasa kila anaetaka akupe biashara au unataka awe mteja wako lazima akuamini kwanza na uaminifu katika kazi huanza na muonekano,ufanisi na umakini.
Legacy ni kampuni...
Kiwanja kinapatikana kwa bei ya 15m kipo salasala- Kidzudi maeneo ya mbezi beach kina ukubwa wa 60 kwa 44. Hakijapimwa umeme ulishafika siku nyingi na barabara nzuri. Pia kinaweza kukatwa nusu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.