Gari Inauzwa

Don Mangi

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
2,198
852
[h=5]Gari inauzwa
Year:1987
Condition:Good
Engine:1500 cc
Model:Toyota Corolla
Transmission: Manual
Location: Dar es Salaam
Reason for sale: User travelling
Price: 3.5 million Tanzanian shillings(price negotiable)
Contacts:0713 713198
jaxnales@gmail.com
Find pictures attached[/h]
 
Wakuu picha zinanipiga chenga kuweka attachment, but soon nikifanikiwa nitaweka. Samahani kw ausumbufu utakaojitokeza.
 
IMAG0547[1].jpg IMAG0550[1].jpg IMAG0548[2].jpg

Haya picha zimekubali gari lenyewe hilo hapo, swaaaaafiiii.
Limelipiwa kila kitu, matairi bado yanalipa sana yaani kiufupi halina shida.
 
wazee hampendi corolla jamani?[/QUOTE

Tunapenda tunasubiri picha tuone ili tuthaminishe na bei iliyoandikwa (VALUE FOR MONEY) maana hata rangi hujatuambia kwani inaweza ikawa imepigwa pasi za mjini ikawa na mabaka kama gari la jeshi kila siku kesi na traffic kwa rangi iliyopo kwenye kadi haiendani na hali halisi (WEKA PICHA)
 
Hiyo siku hizi ndio imekuwa kauli mbiu ya sasa kila mtu ndio huwa sababu yake maana na sie wabongo akitaja sababu nyingine atashushwa sana kwa kumwona anashida
Ulitaka niandike Reason: User Sick???? au unataka niandike unachofikiria wewe? natoa reason kwendana na uhalisia, sio nijisumbue kufikiria some "Jodoki Kalimilo" anafikiria nini....!!!!
 
wazee hampendi corolla jamani?[/QUOTE

Tunapenda tunasubiri picha tuone ili tuthaminishe na bei iliyoandikwa (VALUE FOR MONEY) maana hata rangi hujatuambia kwani inaweza ikawa imepigwa pasi za mjini ikawa na mabaka kama gari la jeshi kila siku kesi na traffic kwa rangi iliyopo kwenye kadi haiendani na hali halisi (WEKA PICHA)
Nishaweka bhana...angalia kama inafaa contact upatiwe gari yako.
 
Usihofu nilikuwa namjibu mdau alipokuwa ame-comment reasons for sale owner Fed up kwamba mtanzania hutakiwi kumwambia reason ya kuonyesha una shida vinginevyo atakushusha chini kama ananunua pikipiki kisa umemwambia una shida na ndio maana nikamwambia humu JF wengi huwa wana reason hiyo (based on previous experience) though wakati mwingine si lazima mtu ajue kwanini unauza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom