Used laptop ya apple kwa bei chee!!

chadog

Member
Aug 11, 2012
65
6
Hardware Overview:

Machine Name: iBook G4
Machine Model: PowerBook6,7
CPU Type: PowerPC G4 (1.5)
Number Of CPUs: 1
CPU Speed: 1.33 GHz
L2 Cache (per CPU): 512 KB
Memory: 1 GB
Bus Speed: 133 MHz
Boot ROM Version: 4.9.3f0
Serial Number: 4H631P46VR3
Sudden Motion Sensor:
State: Enabled
Version: 1.0

Imported from USA na Ina hali nzuri sana!!charge inakaa more than 3 hours..
Rangi ni nyeupe,ina DVD player..na ina uwezo wa kuburn cd

BEI NI SH 500,000.. NO DISCOUNT..
angalia pics kwny attachments
km unahiihitaj make it fast..owner anasafiri soon au km unahitaji sms 0719315637 uje uione mwenyewe..
 
Attachments

  • 3079.jpg
    3079.jpg
    9.1 KB · Views: 250
  • 3086.jpg
    3086.jpg
    13.6 KB · Views: 237
Hardware Overview:

Machine Name: iBook G4
Machine Model: PowerBook6,7
CPU Type: PowerPC G4 (1.5)
Number Of CPUs: 1
CPU Speed: 1.33 GHz
L2 Cache (per CPU): 512 KB
Memory: 1 GB
Bus Speed: 133 MHz
Boot ROM Version: 4.9.3f0
Serial Number: 4H631P46VR3
Sudden Motion Sensor:
State: Enabled
Version: 1.0

Imported from USA na Ina hali nzuri sana!!charge inakaa more than 3 hours..
Rangi ni nyeupe,ina DVD player..na ina uwezo wa kuburn cd

BEI NI SH 500,000.. NO DISCOUNT..
angalia pics kwny attachments
km unahiihitaj make it fast..owner anasafiri soon au km unahitaji sms 0719315637 uje uione mwenyewe..

mbona unaandika pointless specifications wewe???? Vitu vya maana kama Hard Drive hujaandika RAM hujaandika unaandika upuuzi. Jukwa la watu wenye akili hili sio watoto.
 
Jaribu kuwa kidogo mstaarabu, ambacho hajaweka katika tangazo may be waweza sema ni Harddisk spesfication. Ila RAM ambayo katika post yake ameainisha ni 1GB na sifa za muhimu za laptop ameweka.

Kuna kupitiwa, ungepost request ya unachokihitaji i.e HDD capacity natumai ungejibiwa vyema tuu pasipo mushkeri wowote

Taarifa alizoweka mbona zipo sahihi, sema kwa kuongezea amalizie na sifa za HDD. Hatupo hapa kulumbana.
 
mbona unaandika pointless specifications wewe???? Vitu vya maana kama Hard Drive hujaandika RAM hujaandika unaandika upuuzi. Jukwa la watu wenye akili hili sio watoto.
suala!!!sio watoto..ishu ni kwamba unahitaji shule...ikukomboe hizo fikra mgando..hivi unajua maana ya kuweka number ya simu kwenye tangazo..au umekosa cha kufanya..kuwa mstaarabu..na ukue..coz inaonesha we ni teenager..unasumbua tu kaka zako hapa..
 
Jaribu kuwa kidogo mstaarabu, ambacho hajaweka katika tangazo may be waweza sema ni Harddisk spesfication. Ila RAM ambayo katika post yake ameainisha ni 1GB na sifa za muhimu za laptop ameweka.

Kuna kupitiwa, ungepost request ya unachokihitaji i.e HDD capacity natumai ungejibiwa vyema tuu pasipo mushkeri wowote

Taarifa alizoweka mbona zipo sahihi, sema kwa kuongezea amalizie na sifa za HDD. Hatupo hapa kulumbana.
Kuna watu hawajui Kama MEMORY ndio RAM yenyewe...Msamehe.... NB: Kashau HDD tu jamaa kaja juu kama ameambiwa lazima anunue. Kwa Mtazamo wangu HDD Sio Muhimu, kwani kuna mpaka 1TB external siku hizi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom