mashine yakufyatua matofali ya kawaida siyo ya umeme | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mashine yakufyatua matofali ya kawaida siyo ya umeme

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Nivea, Oct 16, 2012.

 1. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #1
  Oct 16, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145

  nahitaji mashine yakufyatulia matofali mpy au used sawa tu ilhali iwe kwenye hali nzuri nahitaji sana,sio ya umeme.
  mwenye nayo PM tu au weka na bei na ikiwwezekana picha nitafurahi sana ,nahitaj weekend hii ianze kazi sawa!!
  nawakilisha wakuu
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Oct 16, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Mbona ni cheap sana,haizidi laki na ishirini(120,000/=) Nenda Mbagala mwisho zipo za kukinga!!
   
 3. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #3
  Oct 16, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  mkuu asante sana bwana kumbe kuna mtu aliniambia eti laki 3 nitakwenda weekend thanks alot be blessed
   
 4. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #4
  Oct 16, 2012
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,940
  Likes Received: 1,498
  Trophy Points: 280
  Kaka unayosema ni ya ukweli?kwa sababu pale Mwenge mwisho kama unaenda Lugalo Jeshini kuna jamaa wanatengeneza hizo mashine mimi nlipita hapo mwanzoni mwa mwaka huu hiyo mashine walisema inauzwa 400,000.
  Kama upo Dar pitia hapo Mwenge uulize
   
 5. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #5
  Oct 16, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,070
  Likes Received: 6,533
  Trophy Points: 280
  kama upo barabara ya morogoro dsm ninayo naweza kukukodishia ukafanyia kazi wakati unajipanga kununua ya kwako mkuu.
   
 6. Dreamliner

  Dreamliner JF-Expert Member

  #6
  Oct 16, 2012
  Joined: Jan 17, 2010
  Messages: 2,034
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Piga number 0713 551394 huyu jamaa ni mtengenezaji yuko Tabata Dampo.. Nina wasiwasi na hy ya 120,000.00 Mi nilinunua kwa huyo jamaa 380,000.00
   
 7. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #7
  Oct 16, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  naihitaji sana, najua nafasi yangu kama mkuu wako huku CC itanisaidia,ntakutafuta@Mamdenyi
   
 8. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #8
  Oct 17, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,070
  Likes Received: 6,533
  Trophy Points: 280
  wasiliana nami kwenye hii namba 0755 557094

   
 9. kitalolo

  kitalolo JF-Expert Member

  #9
  Oct 17, 2012
  Joined: Dec 4, 2006
  Messages: 1,846
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Ninazo mbili nauza 100,000 kila moja ziko kwenye hali nzuri nimekuwa nikizitumia zipo Arusha na vibao pia unapata vya kutosha
   
 10. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #10
  Oct 18, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  nashukuru sana kwa ushauri na mawaazo yenu
   
 11. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #11
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Hizo Ni Bei za Jamii Forums ila Za Ukweli Mbagala ndio hiyo niliyotaja gharama ni kwenye kuchongesha vibao tu na wala sio hizo mashine
   
Loading...