Hello!!
Kampuni ya kuuza kuprint brand on business tents( kama hizi za tigo na airtel barabarani) pamoja na macanvas au macover ya Box board za gari za mizigo, inahitajika.
Please PM details za size ya tents mlizonazo na bei zake, na size za macover ya boxboard na bei zake.
Shukrani.