Natafuta mwalimu wa o level (tuition) kwa binti yangu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta mwalimu wa o level (tuition) kwa binti yangu

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Mbwambo, Oct 15, 2012.

 1. M

  Mbwambo JF-Expert Member

  #1
  Oct 15, 2012
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 626
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  Ninatafuta mwalimu hasa mwenye uwezo wa kumfuata nyumbani kwangu Kumfundisha masomo ya O level binti yangu awe mzoefu tafadhali
  Awasiliane nami kwa email: ak_abduel@yahoo.com
  karibuni ila mtu lazima anionyeshe vyeti vyake
  Nitamlipa vizuri tu
  asante
   
 2. vanmedy

  vanmedy JF-Expert Member

  #2
  Oct 15, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 2,245
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  masomo mangap?:, hakuna mwalimu wamasomo yote... Masomo obvious huwa mawili plus civics... Au moja plus civics...''specify mwl wa masomo gani science,biashara au arts...
  Je UNATAKA MWALIMU MWENYE BACHELOR AU DIPLOMA!?....
   
 3. E

  EJay JF-Expert Member

  #3
  Oct 15, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 694
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  mwalimu wa kike au wa kiume?
  Utamlipa sh.ngapi?
  Kuanzia saa ngapi?kwa muda gani.
  Unakaa wapi?

  Jibu kwanza hayo maswali mkuu
   
 4. M

  Mbwambo JF-Expert Member

  #4
  Oct 16, 2012
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 626
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  Labda nitakuwa sikuezea vizuri kwamba binti yangu yuko Form 1, anaingia Form two sasa masomo ya shule ya O Level yake ni Kama Hesabu, English, Kiswahili na pia Boo keeping na Commerce.
  Kweli ningalipenda masomo ya Heabu na English naona ndiyo hasa anashida. Anasoma KIbasila Secondary
  wEWE NDIO UNIAMBIE KWAMBA KWA LEVEL KAMA HIYO ATAHITAJI MWALIMU WA DEGREE KWELI? NADHANI NI DIPLOMA
  Asante sana na karibu
   
 5. M

  Mbwambo JF-Expert Member

  #5
  Oct 16, 2012
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 626
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  Labda nitakuwa sikuezea vizuri kwamba binti yangu yuko Form 1, anaingia Form two sasa masomo ya shule ya O Level yake ni Kama Hesabu, English, Kiswahili na pia Book keeping na Commerce. so ni Arts
  Kweli ningalipenda masomo ya Heabu na English naona ndiyo hasa anashida. Anasoma KIbasila Secondary
  WEWE NDIO UNIAMBIE KWAMBA KWA LEVEL KAMA HIYO ATAHITAJI MWALIMU WA DEGREE KWELI? NADHANI NI DIPLOMA
  Asante sana na karibu
   
 6. M

  Mbwambo JF-Expert Member

  #6
  Oct 16, 2012
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 626
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  siwezi kujibu hapa na kwa vile niliisha toa email yangu nadhani ni vyema issue ya kiwango gani isiongelewe hapa
  ningalipenda mwalimu awe mwanamke lakini si lazima
  asante
   
 7. E

  EJay JF-Expert Member

  #7
  Oct 16, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 694
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  nakushauri hili tangazo lipeleke kule Jukwaa la Kazi na Tenda,kuna siku niliona post ya dada moja graduate B.A.ed anahitaji nafasi ya kufundisha kwa muda,nadhani utafanikiwa.
   
 8. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #8
  Oct 17, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  mimi naweza kumfundisha yote isipokuwa kiswahili if u a ready ni pm
   
 9. Kig

  Kig JF-Expert Member

  #9
  Oct 17, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 1,060
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Uwe makini vinginevyo utakuwa unatafuta wakwe na kuwaleta nyumbani kwa binti yako.
   
 10. Tripo9

  Tripo9 JF-Expert Member

  #10
  Oct 17, 2012
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 2,169
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  I wish I was a teacher. Duh, sasa mkuu kwa wenye kukumbuka masomo ya O levo unawakaribisha? Mimi kwa Hesabu usipime mkubwa wangu!! So can I be of a help to u u think?
   
 11. M

  Mbwambo JF-Expert Member

  #11
  Oct 18, 2012
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 626
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  Asante sana kaka
   
 12. M

  Mbwambo JF-Expert Member

  #12
  Oct 18, 2012
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 626
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  Yaani ninahitaji wa hesabu na English hasa kwa hiyo kama unahitaji nafasi hii naomba tuwasiliane kwa private message au email yangu niliyoitoa
  karibu
   
 13. M

  Mbwambo JF-Expert Member

  #13
  Oct 18, 2012
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 626
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  Asante kaka nilisema nawapa kipaumbele wakina mama au wa dada
   
Loading...