Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

machine ya kpondea chakula cha wanyama C Approved 3 kiloweter 50hz 220 volts energy saving 100-150 kilo per hour bei 2 million nione kwa namba hii 0718656566 pia incubator zipo kuanzia maya i 89-...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Hivi majuzi nimeona makala NTV inayohusu ufugaji wa samaki katika greenhouse. Nadhani ni biashara nzuri kuwekeza. Zaidi google " u tube women and power fish farming in kiambu" . Pia tazama...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Khabari wanajamii! kuna nyumba mbili zilizo eneo moja zinauzwa nyumba zina vyumba 5 kila moja, sebule na kolido. maji na umeme vipo nyumba zipo kwenye eneo lenye ukubwa wa nusu heka, zipo tegeta...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Natafuta simu za za mezani kama za TTCL za kuweka (SIMCARD) line ya VODA.Mwenye nayo anijuze hapa tufanye biashara!
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wapendwa Nahitaji Playstation 2 original (mtungi) kama nne hivi lakini ziwe multi system za biasahara kuna mahali ni bonge la biashara kama kuna mtu anazo au anajua ziliko ani PM au tuwasiliane...
0 Reactions
1 Replies
966 Views
Wana JF nauza Acer travel mate 2490, yenye H:D 60GB, INTEL CELERON 1.8GHz/1866MHz,1GB Ram,ipo Morogoro,bei ni 280,000,ni used one na inahitaji a new battery,maana iliyopo ina last kwa 15 mins only...
0 Reactions
0 Replies
795 Views
DO YOU FEEL TIRED AND STRAINED HERE ARE GOOD NEWS FOR YOU! Specialized massage to women ,I offer best massage services for ladies within Dar. My services include general body relaxation,stress...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Kimoja kipo chanika wilaya ya ilala kimepimwa na kina hati kina sqm 726 kinauzwa 8.5 m . eneo hili ni nzuri lina nyumba nyingi za nzuri zimejengwa , gari linafika mpaka eneo la kiwanja . Kiwanja...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
TOYOTA HARRIER LEXUS, black (95,200 KM mileage) na RAV4 L, pearly white (92,100 KM mileage)...for sale! Both in good condition, they are at Mwanza. contact 0715/767- 483 570
0 Reactions
2 Replies
996 Views
Wapendwa ninahitaji kiwanja kilichopiwa ambacho kipi sehemu nzuri sina million kumi wapendwa asanteni
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu natafuta fundi wa laptop aina ya IBM inasumbua display.Anae fahamu fundi mzuri kwa Dar naombeni msaada wapi naweza mpata fundi.Natanguliza shukrani zangu za dhati.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
ipo temeke bei nzur Maelewano ina vyumba kumi na 13 ipo barabaran.
0 Reactions
0 Replies
825 Views
Wakuu natafuta gari niliyo itaj hapo juu naweza kupata wpi? Msaada.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kitabu cha lazima kwa Walimu, Watunga sera , Waandishi wa vitabu, Wahariri na Wanaithibati. Lipi ni jina sahihi la chombo kinachosimamia maendeleo katika kata? Je, ni KAMATI YA MAENDELEO YA...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
laki tano (non negotiable) needed quick!! for a hp g6 pavilion ina Processor AMD Athlon(tm) II P360 Dual-Core Processor (2.30ghz) Installed Memory (RAM) 3 GB Video...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Yeyote anayefikiria kuuza LAPTOP yake kwa gharama ya Tshs. 300,000/- tafadhali tuwasiliane. Mi nipo Eckernfode Tanga University. Phone. 0754004189 au 0783757008.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
nani anaweza kuni saidiya kutafuta fremu (duka) ya ku pangishwa. Hapo maeneyo ya old bagamoyo road, mpeka kawe. Au maeneo ya mwenge karibu shamo park. Nipigia- 0784 76 87 86.
0 Reactions
0 Replies
925 Views
nani anaweza kuni saidiya kutafuta fremu (duka) ya ku pangishwa. Hapo maeneyo ya old bagamoyo road, mpeka kawe. Au maeneo ya mwenge karibu shamo park. Nipigia- 0784 76 87 86.
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Guys nauza mid tablet yenye ram 256mb,2gb space, camera, wifi network capabilitie na gps but haingizi line ya simu bei yake ni laki moja tu kwa anayeitaka ani pm
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nauza cctv Camera pamoja na screen ndogo kama sikosei ni 7 inch.Ni nzuri kwa matumizi ya biashara kama duka kwa ajili ya kuweka usalama kwa vibaka.Lakini hairikodi matukio ila utakuwa na uwezo wa...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…