Mtu mwenye uwezo wa kutengeneza Muziki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtu mwenye uwezo wa kutengeneza Muziki

Discussion in 'Matangazo madogo' started by HUNIJUI, Oct 24, 2012.

 1. HUNIJUI

  HUNIJUI JF-Expert Member

  #1
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 10, 2012
  Messages: 1,441
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Anatafutwa mtu mwenye uwezo wa kutengeneza muziki kwa kutumia program za Computer ili nimuunganishe nma mtu ambae ni mtaalamu kias lakini ana vifaa ambavyo vitawawezesha kufungua studio ndogo kwa ajili ya kurekodi Nyimbo na Video.
  MASHARTI

  • Awe mkazi wa Dar es Salaam
  • Awe mwaminifu
  • Awe ana uwezo wa kutengeneza beats na vocal
  • Awe na eneo ambalo ataweza kuweka hivyo vitu kama studio
  • Awe eneo ambalo linafikika kwa haraka
  • Awe serious na kazi hii.
  Kama unakidhi vigezo hapo juu, PM maelezo yako na namba yako ya simu then ntampa muhusika atakupigia.
   
 2. HUNIJUI

  HUNIJUI JF-Expert Member

  #2
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 10, 2012
  Messages: 1,441
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Program ni kama vile Fruity Loops (FL), Cu Base, Adobe, Nuendo, Sony vegas nk.
   
 3. Mgibeon

  Mgibeon JF-Expert Member

  #3
  Oct 24, 2012
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 7,440
  Likes Received: 9,090
  Trophy Points: 280
  Hebu mcheck huyu 0712148001, muulizie AK47, He is a good producer..!
   
Loading...