Farida nakutafuta | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Farida nakutafuta

Discussion in 'Matangazo madogo' started by MUSINGA, Oct 24, 2012.

 1. M

  MUSINGA JF-Expert Member

  #1
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 376
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 45
  naomba kama kuna mtu anamfahamu mwanadada anayeitwa farida au kama mwenyewe ni mwanachama humu anipm tafadhali ni muhimu sana.Anafanya biashara kati ya China na Bangkok kama sikosei ni biashara ya computer n.k,anaishi maeneo ya kndoni Muslim
   
 2. Jimjuls

  Jimjuls JF-Expert Member

  #2
  Oct 24, 2012
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 460
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Anaitwa Farida nani?Na amepotea au vipi?Halafu mfanyabiashara mkubwa hivyo hana link ya kumpata?Au kwa sababu anfanya biashara China na Bangkok ashaanza kuwa na FAKE IDENTITY hahahaha
   
 3. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #3
  Oct 24, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,457
  Likes Received: 3,707
  Trophy Points: 280
  umetapeliwa.......jaribu kumfwatilia eneo ulilotaja
   
 4. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #4
  Oct 24, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  we musinga,ufumire churku?
  angalia mkulu wadada wa mujini ukiingia kichwakichwa utarudi kondoa kwa miguu ukiongea mwenyewe ka kichaa.
  kwani ulimpa ngapi?
   
 5. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #5
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,151
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Tiriririkaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!! Kakupiga Dollar Ngapi?
   
 6. p

  pilau JF-Expert Member

  #6
  Oct 24, 2012
  Joined: Aug 16, 2012
  Messages: 1,523
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  ....... Kuna M a - Farida wangapi.... kinondoni yoteeee hiiii
   
 7. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #7
  Oct 24, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,506
  Likes Received: 2,245
  Trophy Points: 280
  Hahaha. Kamtangaze rfa banaa. Unatoa na description, mumewe akikukontakti ujue umekwisha aka rip
   
 8. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #8
  Oct 24, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Farida mwanamke mfanyabiashara Bankok/China!!!! Eleza yaliyokusibu mkubwa!!! Hawa wanawake wengine wanaoenda hiko Bankok mara Honkong mambo yao ni hatari!!!! Kama ulimgea tudola kako jua hutompata!! Tehe Tehe!!
   
 9. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #9
  Oct 24, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,046
  Likes Received: 7,257
  Trophy Points: 280
  Ushaingizwa mkenge ndugu, andika maumivu.
   
 10. M

  MUSINGA JF-Expert Member

  #10
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 376
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 45
  ahsanteni waungwana ila mawazo yenu mlikopeleka siko kabisa,huyu dada anaitwa Farida Ombara naombeni msaada wenu si kunibeza jamani!
   
Loading...