Ya mwaka gani,Engine size,imetumika miaka mingapi TZ,kama ina ugonjwa wowote ambao unahitaji matengenezo na vilevile kama uataweza kupiga picha za ndani itakuwa nzuri zaidi ili kuitathmini kwa jumla.
6M, no more no lessMkuu nina M. 4 tufanye biashara.
Ya mwaka 1997, imetua bongo 2007, engine capacity 1980, IG, six cylinder, imekwenda Km 120,000. Fuel consumption ni 9km/liter Ndani ni mpya kabisa. Haina ugonjwa wowote, muda wote ilikuwa inatumiwa na wifi/shemeji yenu, so imelelewa kidemu demu. Kama ni safari Dar - Mwanza wewe ni kuweka fuel na kulala mbele. Gari ipo Arusha city. Bei ya mwisho ni 6M, no further negociation.Ya mwaka gani,Engine size,imetumika miaka mingapi TZ,kama ina ugonjwa wowote ambao unahitaji matengenezo na vilevile kama uataweza kupiga picha za ndani itakuwa nzuri zaidi ili kuitathmini kwa jumla.
Ya mwaka 1997, imetua bongo 2007, engine capacity 1980, IG, six cylinder, imekwenda Km 120,000. Fuel consumption ni 9km/liter Ndani ni mpya kabisa. Haina ugonjwa wowote, muda wote ilikuwa inatumiwa na wifi/shemeji yenu, so imelelewa kidemu demu. Kama ni safari Dar - Mwanza wewe ni kuweka fuel na kulala mbele. Gari ipo Arusha city. Bei ya mwisho ni 6M, no further negociation.GX 100 nyingi cc 2000, ni kimeo unless upate engine 1G kavu
Tayari check hao chinimkuu tupia taarifa za kutosha tuchakue mzigo
Ya mwaka 1997, imetua bongo 2007, engine capacity 1980, IG, six cylinder, imekwenda Km 120,000. Fuel consumption ni 9km/liter Ndani ni mpya kabisa. Haina ugonjwa wowote, muda wote ilikuwa inatumiwa na wifi/shemeji yenu, so imelelewa kidemu demu. Kama ni safari Dar - Mwanza wewe ni kuweka fuel na kulala mbele. Gari ipo Arusha city. Bei ya mwisho ni 6M, no further negociation.
Mkuu ukiomba kazi the comedy hukosi, umenichekesha sana. Unajua jamaa wameomba details sasa ndo nikaona nifunguke japo kidogo coz nina uhakika na product yanguNimependa eti imelelewa kidemu demu, kweli wewe ni pure mangi biashara unaijua.
Ya mwaka 1997, imetua bongo 2007, engine capacity 1980, IG, six cylinder, imekwenda Km 120,000. Fuel consumption ni 9km/liter Ndani ni mpya kabisa. Haina ugonjwa wowote, muda wote ilikuwa inatumiwa na wifi/shemeji yenu, so imelelewa kidemu demu. Kama ni safari Dar - Mwanza wewe ni kuweka fuel na kulala mbele. Gari ipo Arusha city. Bei ya mwisho ni 6M, no further negociation.
GX 100 nyingi cc 2000, ni kimeo unless upate engine 1G kavu
Aisee mbona tunaumizana? Being silent is also a good answer1G kavu si ndio balaa Katelephone? Ni Jini, wengi wanapenda zenye vvti
Kwani ukikaa kimya utapungikiwa nini? Majungu hayajengi mdogo wanguSix cylinder ya mwaka 1997.
Hata hiyo M.4 ni nying sana.
Kwani ukikaa kimya utapungikiwa nini? Majungu hayajengi mdogo wangu
Ya mwaka 1997, imetua bongo 2007, engine capacity 1980, IG, six cylinder, imekwenda Km 120,000. Fuel consumption ni 9km/liter Ndani ni mpya kabisa. Haina ugonjwa wowote, muda wote ilikuwa inatumiwa na wifi/shemeji yenu, so imelelewa kidemu demu. Kama ni safari Dar - Mwanza wewe ni kuweka fuel na kulala mbele. Gari ipo Arusha city. Bei ya mwisho ni 6M, no further negociation.
Mkuu nina M. 4 tufanye biashara.