Msaada wa incubator/ hatching machine ( mashine ya kutotoa mayai) p/se.

Msaada wa incubator/ hatching machine ( mashine ya kutotoa mayai) p/se.

Ryaro wa Ryaro

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2010
Posts
2,659
Reaction score
1,430
Naomba kama kuna mtu azazo taarifa ni wapi naweza pata incubator yenye kutotoa mayai mia 300 hadi 400 kwa wakati mmoja.Asante sana kwa information na msaada wetu.Ujasiliamali ni muhimu.
 
Naomba kama kuna mtu azazo taarifa ni wapi naweza pata incubator yenye kutotoa mayai mia 300 hadi 400 kwa wakati mmoja.Asante sana kwa information na msaada wetu.Ujasiliamali ni muhimu.

Wapigie jamaa wanaitwa Farm Base : 0754-332488.
Pia nasikia jamaa wa SIDO nao wanatengeneza incubators.
 
Kuna jamaa wa China wanauza bei nzuri, hata shipment ni cheap. Ntakuwekea hapa e mail addres and website soon ili ujaribu kuwa contact.
 
Thanks let me try and see if it will work.
regards bro..
 
Nimeziona zimekaa vizuri labda tu kwa vile tunasema vitu vya kichina vinahitaji uzoefu maana durability yake ndo iko mashakani.
Basi kusema asante ni wajbu kwani inforamtion always is power....
 
mkuu hiyo machine ipo . ipo hapa Dsm inauzwa tuwasiliane 0657 145555
 
Usihangaike sana sisi tunatengeneza kwa bei nafuu sana na tena tupo jirani sana. tuwasiliane ili upate mashine bora kwa bei nafuu n itakayo kusaidia sana katika ujasiriamali wako. Karibu sana 0753903809
 
Back
Top Bottom