Nauza projector bei 200,000

NEXTLEVEL

JF-Expert Member
Jan 19, 2012
857
394
DLP INFOCUS X1, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza ni projector ambayo bado iko safi bulb life bado,kiujumla ni nzuri kwa bei nafuu na hitaji hela ya haraka kama unahitaji ni PM. BEI NI Tsh. 200,000/-
 

Attachments

  • infocus-x1-video-projector.jpg
    infocus-x1-video-projector.jpg
    2.9 KB · Views: 354
Pia utueleze vizuri umeiiba wapi ili sisi wanunuzi tuwe na tahadhari wakati tunaitumia.
 
Pia utueleze vizuri umeiiba wapi ili sisi wanunuzi tuwe na tahadhari wakati tunaitumia.
Usiwe mwepesi wa kuhukumu,ninazo tatu nazote ziliagizwa nje so nauza moja kwa maamuzi yangu kwa kuwa naihitaji hela ya haraka, shida ya baadhi ya Wabongo nikuhukumu ukiwekekewa bei juu kelele ikiwa chini sana napo kelele jamani kazi sana. Haya tangaza nchi nzima huyo aliyeibiwa ajitokeze na document zake.
 
Naona umeiweka AMAZON pia mbona huku iko kwa $200 mkuu?

Amazon.com: InFocus X1 Video Projector: Electronics

Ndugu bei ya $200 ni ya AMAZON siyo yangu? Mimi yakwangu ipo nyumbani hata leo ukitaka unachukua,mimi niko Dar. Pia kwa ushauri tu Amazon @ Usd $200 ukijumlisha na usafirishaji na gharama nyingine utaikuta kwenye Laki4 na zaidi mpaka inakufukia wakati zote ni used na pia kuna risk ya kutopata mzigo wako wakati hapa unaangalia unatest unaridhika ndo unalipia,bei yakitanzania na unachukulia nyumbani ili kama kunashida waweza kurudi tukaangalia tatizo.
 
ndugu bei ya $200 ni ya amazon siyo yangu? Mimi yakwangu ipo nyumbani hata leo ukitaka unachukua,mimi niko dar. Pia kwa ushauri tu amazon @ usd $200 ukijumlisha na usafirishaji na gharama nyingine utaikuta kwenye laki4 na zaidi mpaka inakufukia wakati zote ni used na pia kuna risk ya kutopata mzigo wako wakati hapa unaangalia unatest unaridhika ndo unalipia,bei yakitanzania na unachukulia nyumbani ili kama kunashida waweza kurudi tukaangalia tatizo.

mbona picha ni ileile?

Hii ya amazon

41TBS3GNQYL._SL500_AA300_.jpg


Na hii ya kwako

attachment.php


 
mbona picha ni ileile?

Hii ya amazon





41TBS3GNQYL._SL500_AA300_.jpg


Na hii ya kwako

attachment.php




Kaka nilikuwa sijakuelewa picha mimi nimeweka kwa kutumia model coz ilivyo kwa muonekano ni exactly lkini yangu sina camera hapa ungekuwa facebook waweza thibitisha kwenye picha zangu

Ukiangalia vizuri kwenye kabati.
 

Attachments

  • pr.jpg
    pr.jpg
    60.6 KB · Views: 66
mimi naihitaji hii projector leo hii hii na my 4ne no# icheki kwenye me naku Pm......inbox
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom