Wernery G Kapinga
JF-Expert Member
- Feb 2, 2012
- 372
- 119
Kwanza kabisa napenda kuwashukuru wana JF kwa ushirikiano mlionipa mpaka nikafanikisha kupata Laptop kwa tangazo la kwanza. Kwa mara nyingine natafuta tena nyingine iliyotumika kwa bei ya 250,000/- za Kitanzania. Mawasiliano yangu ni 0754004189 au 0783757008. Ahsanteni.