Scania 124 , p360 for sale, ipo dar es salaam

Scania 124 , p360 for sale, ipo dar es salaam

Akiri

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2010
Posts
1,445
Reaction score
217
Ina hali nzuri sana na ipo barabarani
Tangu inunuliwe imekaa barabarani kwa mwaka mmoja, imesajiriwa kwa namba T293 BEK
inauzwa Tsh . 52,000,000/=
Kwa anayetaka kuona ipo kinondoni kwa manyanya tuwasiliane 0657 145555 au 0755 099 291 na 0754 278 278

SCN 03.JPG SCN 01.JPG SCN02.JPG CIMG5060.JPG
 
ukija kuona njoo na fundi wako ili kuokoa muda
 
vibari vyote muhimu vipo na haina deni lolote
 
gari hii bado ipo na pia kwa mahitaji yoyote ya gari kubwa kama scania , Daf, nk
 
naweza pata ''2005 SCANIA 114C 341 THOMSON HF GRAB TIPPER'' or ''2004 SCANIA 114C-380 Diesel in Guisborough''
 
mkuu 113 8X4 memde,hiwe tipper ama vingine, unaweza niuzia kwa mil. ngapi?
kiongozi 113 8x4 kwa sasa sina lakini naweza kupatia ndani ya siku 30, km utakuwa tayari kuisubiri kwa siku 30 ni pm then nitakutumia bei yake.
 
Ingekuwa mende muda mrefu ingekuwa ishabebwa
 
Nimeuliza gearbox gani? anyway,ni gea 8 ama 10(sprinter)?
Mkuu mimi ni Agent wa kuuza vitu mbali mbali nimeletewa gari na nyaraka zake hata kuliendesha sijui we njoo au mtume mtu aje angalie mimi tutazungumza bei
 
Back
Top Bottom