Usafirishaji mizigo

Usafirishaji mizigo

Mgengeli

Senior Member
Joined
Sep 23, 2011
Posts
193
Reaction score
13
WanaJF,Mimi nina gari semitraller mpya natafuta mzigo wa kusafirisha kwenda mikoa kama mwanza,kigoma,sumbawanga na sehemu zingine za nchi yetu ya Tanzania,tela ni flatbed napakia mwishi ton 33,kama kuna mtu mwenye mzigo ani PM
 
Back
Top Bottom