Espitech Engineering Company are Exparts in Latest and Advanced Equipments Supply and Instollation of the following Services
CCTV surveyallance
Intruder Alarm System
Entrance/Exit
Fire...
Mambo vipi JF?
Puppies DOB 29/07/2012 wanauzwa, wameshachomwa DHLP , buster wanachomwa mwezi wa 10.
Bei kwa puppy mmoja ni Tshs 400,000/=. Wamebaki majike wa2 na dume mmoja.
Kwa mawasiliano...
Jiko na mixer ya bakery zinauzwa
Nauza jiko kubwa la deki 4 pamoja na mixer ya kukandia unga ambayo sijui size yake ila naweza nikasema size ya kati.Vifaa hivi vipo katika hali nzuri na vyote...
Kwa wanaojua mahali ambako wanatengeneza au kuuza mashine za kutengeneza mkaa utokanao na mabaki ya vitu mbalimbali kama karatasi nk (briquettes) naomba wanijulishe tafadhali. Nitafurahi kama...
House for Sale Price Negotiable
Includes: MASTER BEDROOMS, SITTING/ DINNING/FULLY EQUIPPED KITCHEN
FULLY FURNISHED, ALL INCLUSIVE ELECTRICITY and WATER
*
Price:200 million
Price...
Mitsubishi pajero io 5 doors
BKE registration..
Never overhauled
Single owned for 15 months in tanzania., bought from YUASA AUTO IMPLEX last year
Run in excellent condition
Surrounding sound...
HABARI WADAU
Na habari nzuri nataka kuwatangazia kwa wale ambao wanahitaji na wana tafuta nyumba ya kifamilia.(YAKUPANGISHA)
NYUMBA INA
VYUMBA 3(1MASTER BEDROOM)
CHOO CHA NDANI 1
CHOO CHA NJE NA...
Habari zenu wadau! nahitaji kununua gari toyota ist ambayo ipo katika hali nzuri.
Specifications
1. Rangi yoyote kasoro nyeupe, nyekundu na dark blue (blue bahari haina shida)
2. Ndani iwe safi...
Wadau natafuta nyumba/chumba na sebule katika manispaa ya Morogoro hasa maeneo ya Bigwa yote mpaka mwanzo Mgumu,Misongeni,Kola na nanenae au popote ndani ya manispaa ya Morogoro,kikubwa vyumba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.