kiwanja kinauzwa Mwanza

kiwanja kinauzwa Mwanza

lugeka

Member
Joined
Oct 27, 2012
Posts
9
Reaction score
0
Kiko Kiseke (low density), mita chache kutoka barabara kuu.
Kina ukubwa wa 60.72m x 30.0m, kimepimwa na kina offer letter.
Bei 30M Dalali hatakiwi, kinauzwa na mmiliki.

Serious buyers only:
tuwasiliane .
frankie.utp@gmail.com
 
Mimi nataka nijenge baa, je kinatosha??? Nina mtaji wa Milioni 49 kununua kiwanja na ujenzi ikiwa 20 % yake ni kununua kiwanja (kokotoa), wasemaje???
 
Shukrani Mama Mdogo kwa kuonyesha nia. Ni kikubwa sana (1821.6 sqm).
Nimekokotoa ila uko chini sana.
 
Tripo9. Asante mkuu, ila uko chini sana.
kwa kuzingatia ukubwa wa kiwanja na mazingira husika.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom