Laptop bei poaaaa tsh 250,000

Pelham 1

JF-Expert Member
Feb 29, 2012
548
99
Laptop Toshiba TECRA L2 ni laptop iliyo kuwa katika hali nzuri,ina uwezo wa kupiga kazi kwa muda mrefu bila ya kuchemka tofauti na laptop nyingine. Processor =Pentium R (1.73 GHz) ,Memory = 502 MB RAM ,Operating System =XP Professional (5.1 Build 2600) Kwa mawasiliano 0714 074040.
 
Ina wifi na vp kuhusu hdd

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
oya mbona mna diss? jamaa anauza kwa bei nzuri hamuamini mnahisi kimeo, wakitaja bei kubwa mnasema bei za shop. kama huna haja ya kununuz kafie mbele wewe heater.

kaka tupia pictures zake tuone ubora
 
hiyo laptonga ina gb ngapi mwana,bettery life imekaa vipi? ina webcam,wifi.bloetooth au ndio kitu kwa ajili ya kugongea assingmt tu chuo na kugonga game?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom