Msaada wa kukokotoa kodi

Msaada wa kukokotoa kodi

mlimbwende

Member
Joined
Jul 15, 2011
Posts
74
Reaction score
26
[TABLE="class: vdet"]
[TR="class: price"]
[TD]Waungwana naomba mnisaidie kukokotoa gharama ya kulifikisha Tanzania na kodi yote kwa gari (Subaru Impreza FOB ni US$300 ya mwaka 2001

[/TD]
[TD="align: left"]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
mhhhh .... US$ 300 ....?
 
Hebu uliza bei ya Freight nikufanyie hayo mahesabu fasta
 
Freight ni USD 1,800

Wajepu wajanja sana,
Unadanganyishiwa;
FOB=300
Freight=1,800
Total = 2,100

Wakati Ukweli hapo gari umeuziwa
FOB=1,300
Freight=800
Total =2,100.

Hakunaga Freight ya 1,800 kwa kagari kadogo kama hako. Wanakuwekea bei ndogo ya gari but wanakuja kukugonga kwenye freight wakati wao hawalipi hiyo kwa wenye meli.
 
Yaani hawa wajapan marketing strategy yao ni hatari. wanaweza kukuingiza kichwakichwa ukaja ukaumbuka baadae. Mimi nilipoona USD 300 nikajua nimeramba dume kumbe lol!
 
mhhhh .... US$ 300 ....?

Wajepu wajanja sana,
Unadanganyishiwa;
FOB=300
Freight=1,800
Total = 2,100

Wakati Ukweli hapo gari umeuziwa
FOB=1,300
Freight=800
Total =2,100.

Hakunaga Freight ya 1,800 kwa kagari kadogo kama hako. Wanakuwekea bei ndogo ya gari but wanakuja kukugonga kwenye freight wakati wao hawalipi hiyo kwa wenye meli.

niliwai kuona noah ya mwaka 2000, ilikuwa inauzwa US$ 13, i mean kumi na tatu na jamaa wakasema hawajakosea baada ya kuwacliana nao, freight ilikuwa 1220...some time its pocble kwa mf. pale trade car view gari za dollar 400 zipo nyingi tu fright inakuwa US $ 905 ila zinakuwa miaka yakuanzi 1999 kwenda chini
 
Back
Top Bottom