Zipo nyingi tu hapo Mwanza nimenunua wiki imepita Tshs 120,000, dar ni Tshs 100,000 hivi.Mwanza zipo hapo maduka ya simu stendi ya daladala mjini opposite na nono supermarket.
HUNA HAJA YA KUNUNUA MKONONI.
Zipo nyingi tu madukani, usipende kununua simu kwa watu (mbali na dukani) usiowafahamu maana unaweza kujikuta umenunua simu iliyotumika kwenye uhalifu ukawa matatizoni!
Btw: Neno "ya kununua" kwenye heading yako ni redundant, hivi kuna mtu kweli angeamini unatafuta simu ya bure usingeliweka?