Mashine za kutengeneza chakula cha kuku zinahitajika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mashine za kutengeneza chakula cha kuku zinahitajika

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Don Mangi, Oct 28, 2012.

 1. Don Mangi

  Don Mangi JF-Expert Member

  #1
  Oct 28, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,206
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Mwenye ufahamu kuhusu hili,
  Zinahitajika mashine mbili za kutengeneza chakula cha kuku. moja ni ya kusaga na nyingine ya kuchanganya, au ikipatikana unit nzima inayofanya kazi yote pia nayo ni sawa.
  Naomba anayejua ani PM specifications za mashine aliyonayo plus bei.
  Shukrani.
   
 2. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #2
  Oct 28, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280
  Mkuu nafahamu mtu anaye tengeneza hizo mashine huku Arusha na nilikuatana naye SIDO pamoja na kwenye maonyesho ya 88, Ila kwa sasa sina namba yake ngoja kesho nitajaribu kumfuata kwenye ofisi yake make napafahamu, wewe uko wapi? ni PM namba yako then nikiipata yake nitakutumia au nitaiweka humu kila anaye taka amtafute, Jamaa anatengeneza mashine kubwa na Ndogo na kuna ya kubeba tani moja hadi tani 3 kwa wakati mmoja,
   
 3. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #3
  Oct 28, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280
  Kwa bei zilikuwa zina renj milioni Mbili na nusu hadi tano kama sikosei, Ila nikimpata ndo atatoa melezo zaidi make ni muda sana
   
 4. Don Mangi

  Don Mangi JF-Expert Member

  #4
  Oct 29, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,206
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Nashukuru mkuu, nimeku pm namba yangu nangojea hiyo kitu.
   
 5. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #5
  Oct 29, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Ukipata info zimwage hapa utasaidia wengi pamoja na huyo mjasiriamali
   
Loading...