Wanunuzi wa Kuni wanahitajika

ROKY

Senior Member
May 4, 2011
182
70
Hi wana JF wote,

Natafuta wanunuzi kuni za jumla.

Nina mashamba mapya nayasafisha, hivyo kuna miti mingi sana kwa ajili ya kuni.
Eneo zinapopatikana kuni hizo ni mkoa wa Pwani, umbali wa kilometa 100 toka DSM.
Bei ya kuni ni sh. 150,000 kuni zikizojaa kwenye fuso au canter (tani 3), maongezi pia yapo.

Wana JF nawasilisha.
Pia naomba mnipe contacts za wanunuzi wanaoweza kununua kuni hizo kwa jumla.

Mawasiliano yangu ni:-

Voda 0754-310981
Airtel 0789-310981
Tigo 0658-310981

Thanks in advance.
 
Safi sana, nasikia kuni za huko ni nzuri sana, haziishi haraka wakati wa kupikia kwasababu ni za miti ya asili.
 
Hakita mkuu Mu-Israeli,
Miti yote ya huko ni miti ya asili, yaani msitu wenyewe ni msitu ambao haukawahi kufyekwa. Msitu una miti mingi sana ya kuni.
Hivyo wanunuzi wote wanaohitaji kuni sasisite kuwasiliana na mimi, maana ninaweza kuwapatia mzigo mkubwa sana wa kuni.
 
Safi sana, nasikia kuni za huko ni nzuri sana, haziishi haraka wakati wa kupikia kwasababu ni za miti ya asili.

Hakika mkuu,
Baadhi ya miti yenyewe ni kama inavyoonekana kwenye picha hizi hapa chini.
Miti mizuri ya asili wa kuni saafi kabisa.
attachment.php

attachment.php
 
Attachments

  • miti ta kuni 01.jpg
    miti ta kuni 01.jpg
    128.1 KB · Views: 88
  • miti ta kuni 02.jpg
    miti ta kuni 02.jpg
    114.3 KB · Views: 88
Ndugu yangu umepata kibali toka maliasili kukata hiyo misitu au unajikatia tu? Mimi nilikata mti nilioupanda mwenyewe karibu wanifunge
 
ngoja nikuripoti mali asili wewe jangili!

Ukaripoti mali asili ?? Jangili ??
Pole sana ndugu yangu!! Maana naona hujasoma post yangu ya kwanza kabisa.
Ngoja niiweke tena hapa ili uione !!!!
Angalia sana hapo kwenye maandishi makubwa ya blue na red !!!
Unaweza kuelewa kitu hapo ??
Maana yake ni kuwa ninasafisha pori ili liwe shamba kwa ajili ya kupanda mazao mbali-mbali.
Sasa nisipikata baadhi ya miti nitapandaje mazao kwenye pori hilo unaloliona kwenye picha ??
Upo hapo ??
Haya wanunuzi wa kuni karibuni sana.

Hi wana JF wote,

Natafuta wanunuzi kuni za jumla.

Nina mashamba
mapya nayasafisha, hivyo kuna miti mingi sana kwa ajili ya kuni.
Eneo zinapopatikana kuni hizo ni mkoa wa Pwani, umbali wa kilometa 100 toka DSM.
Bei ya kuni ni sh. 150,000 kuni zikizojaa kwenye fuso au canter (tani 3), maongezi pia yapo.

Wana JF nawasilisha.
Pia naomba mnipe contacts za wanunuzi wanaoweza kununua kuni hizo kwa jumla.

Mawasiliano yangu ni:-

Voda 0754-310981
Airtel 0789-310981
Tigo 0658-310981

Thanks in advance.
 
Ukaripoti mali asili ?? Jangili ??
Pole sana ndugu yangu!! Maana naona hujasoma post yangu ya kwanza kabisa.
Ngoja niiweke tena hapa ili uione !!!!
Angalia sana hapo kwenye maandishi makubwa ya blue na red !!!
Unaweza kuelewa kitu hapo ??
Maana yake ni kuwa ninasafisha pori ili liwe shamba kwa ajili ya kupanda mazao mbali-mbali.
Sasa nisipikata baadhi ya miti nitapandaje mazao kwenye pori hilo unaloliona kwenye picha ??
Upo hapo ??
Haya wanunuzi wa kuni karibuni sana.

Hi wana JF wote,

Natafuta wanunuzi kuni za jumla.

Nina mashamba
mapya nayasafisha, hivyo kuna miti mingi sana kwa ajili ya kuni.
Eneo zinapopatikana kuni hizo ni mkoa wa Pwani, umbali wa kilometa 100 toka DSM.
Bei ya kuni ni sh. 150,000 kuni zikizojaa kwenye fuso au canter (tani 3), maongezi pia yapo.

Wana JF nawasilisha.
Pia naomba mnipe contacts za wanunuzi wanaoweza kununua kuni hizo kwa jumla.

Mawasiliano yangu ni:-

Voda 0754-310981
Airtel 0789-310981
Tigo 0658-310981

Thanks in advance.

Usiidharau maliasili ahat kama shamba ni lako...fuatilia kibali ndugu
 
Roky, tafuta wafanya biashara wenye tenda za kuuza kuni kwenye viwanda vya nguo, kwenye mashule, n.k
Hao ndio watakuwa wanaweza kununua kuni kwa wingi.
 
Back
Top Bottom