uzinduzi wa
tunawakaribisha
katika uzinduzi wa album mpya ya
'wokovu wetu u tayari
ya cornerstone gospel singers
ambayo itafanyika siku ya jumapili
kuanzia saa 8 mchana na kuendelea
katika...
Anaitwa EMANUEL MWAIPALE mweyeji wa mkoa wa mbeya, wilaya ya Kyela. kitu ambacho sifahamu ni kata na kijiji anachotoka mwaka juzi alihama kutoka Mbeya mjini maeneo ya Mwanjelwa na ambako alikuwa...
Nyumba ipo mbweni mpiji kwenye eneo la ukubwa wa sqm 663, nyumba bado haijakamilika ndani, ina vyumba 3, kimoja master, sebule, choo, dinning, jiko, stoo na public toilet. maji na umeme vipo bei...
Dege heka 2 mil.12/salasala square meter 1500 mil.15/mbutu karibu na kichangani beach resout mil. 15 square meter 1500 contact 0776 237 245/0612 555 111
nyumba ipo kihonda mazimbu road
bei millioni 7.5 maongezi yapo.
ninaiuza kutokana na kuhamishwa mkoa kikazi na kuwa mbali naamini nitashindwa kuihudumia .
MAWASILIANO-0715026030
Wasalaam, nina kiwango cha sh 400,000 natafuta laptop yenye specificatios hizi RAM 2GB, processor speed 2GHz and Hdd iwe 350GB and above mwenye nayo ani Pm tufanye business faster,shughul njema.
Kitabu hiki kinapatikana pote duniani kupitia Amazon.com na kama E-Book kwa kupitia Kindle
* Toleo hili ni toleo maalum, likiwa na maandishi makubwa - kwa mtu yeyote kuweza kusoma bila kufikicha...
MC mzoefu anaitwa bakari simbeye anapatika kwa shughuli mbalimblai zikiwemo za kiofisi na binafsi kwa kupitia namba hizi hapa:0653-812984/0754-368802. Gharama ni 900,000 pamoja na muziki.
NYUMBA YA ILIYOJENGWA KISASA INAUZWA INA SIFA ZIFUATAZO
Ipo mbezi mwisho barabara ya morogoro
umbali wa mita 60 toka barabara kuu iendayo Morogoro
Ni mpya bado haijakaliwa 90% ya matengezezo...
Gari aina ya Toyota Emina linakodishwa kwa shughuli mbalimbali ndani na nje ya mji wa Dar Es Salaam. Linauwezo wakuchukua watu 7.Gari Litakuwa linakodishwa pamoja na dereva wakati wote. Mteja...