Nyumba inauzwa mbweni mpiji

Nyumba inauzwa mbweni mpiji

Kariba1

Member
Joined
Aug 20, 2012
Posts
75
Reaction score
4
Nyumba ipo mbweni mpiji kwenye eneo la ukubwa wa sqm 663, nyumba bado haijakamilika ndani, ina vyumba 3, kimoja master, sebule, choo, dinning, jiko, stoo na public toilet. maji na umeme vipo bei yake ni ml 170 hati ipo kwa mawasiliano zaidi piga 0714104788 au 0712868672
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom