Nimeshindwa kuimalizia -nauza bei ya used vits

Nimeshindwa kuimalizia -nauza bei ya used vits

araway

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2007
Posts
534
Reaction score
147
nyumba ipo kihonda mazimbu road
bei millioni 7.5 maongezi yapo.
ninaiuza kutokana na kuhamishwa mkoa kikazi na kuwa mbali naamini nitashindwa kuihudumia .
MAWASILIANO-0715026030





101_0153.JPG101_0155.JPG101_0155.JPG101_0152.JPG
 
Ukubwa wa kiwanja? Kimepimwa?
 
Ukubwa wa kiwanja? Kimepimwa?

kiwanja ukubwa ni 20 kwa 30 na hakijapimwa lakini kipo katika eneo lililopangiliwa vizuri na barabara za mitaa zimepita kwa mpangilio mzuri kabisa.
 
daah!!
hapa majuz tu kuna mtu aliniuzia kiwanja Mill 4 (20x17) hapo kihonda karibia na shule ya sec tengamano,

ungeweka hili bandiko mapema nafikiri tungeongea mkuu.

ila wakuu ambae yupo tayar afanye jitihada mapema.
 
Naomba nitumie ramani yake hata sketch halafu ni-discuss wife weka simu nitakutwangia
 
Naomba nitumie ramani yake hata sketch halafu ni-discuss wife weka simu nitakutwangia

mkuu embu chora picha hewani kwa maelezo haya!ina vyumba vitatu
kimoja ni master. viwili vipo upande mmoja kimoja ambacho ni master kipo upande mmoja na public toilet, stoo,jiko na dining room. hivi vyumba viwili vipo upande mmoja na sebule. sijui kama nimeeleweka mkuu!
 
natoa M5, kama inalipa jumamosi nije Morogoro tufanye biashara

mkuu thamani ya kiwanja kwa eneo hili ni 4m hadi 6m, kwa tano kiongozi nitakuwa nimeumia sana. nashukuru kwa offer yako!
 
Back
Top Bottom