Spy pen ni hizi

Spy pen ni hizi

Chuck j

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2011
Posts
2,366
Reaction score
834
3.jpg 4GB-1280-x-720-HD-SoundActivated-Video-Spy-Pen-Camera-Camcorder-SZ05430123_1.jpg ni laki na hamsini tuuuuu,,kwa wabunge ,madereva wanaoombwa rushwa,wanasiasa,na waandishi wa habari
 

Attachments

  • spy pen.jpg
    spy pen.jpg
    70.7 KB · Views: 145
Kitu poa sana hiyo. Watu wataacha kusema uwongo, issue ni sheria zetu zinasemaje kuhusu evidence za digital kama hizo?
 
jaman sio kila mtu anahitaji hiz pen,

ila unaweza inunua ukamwekea waifu kwenye gari kisirsir ujua watu wanaommendea

Mabreka mambo ya wyf dawa yale ni ile ya temeke,maana si wote wenye magari mdau
 
Last edited by a moderator:
sio kitu cha ajabu siku hizi, kuna pen, kuna saa, kuna miwani etc zenye camera..china zimejaa kibao na zinauzwa kama njungu na wamachinga wa huko!
 
Najua hizi kalamu zipo saa pia ,kwanini laki na hamsini na ni zan nchi gani ?
 
jaman sio kila mtu anahitaji hiz pen,

ila unaweza inunua ukamwekea waifu kwenye gari kisirsir ujua watu wanaommendea

weee umenikumbusha shoga'ngu mmoja alinunuliwa kama zawadi na hubby wake, sasa akawa anaitumia ofsini akijua ni kalamu tu ya kawaida kijana mmoja mtaalam wa it ndo alimwambia wewe hii mbona ni intelligence device?? bibie akabisha basi kijana akamfungulia lol! binti kidogo azimie ilimlazimu aitupe tena alipewa 4.

yaani mkeo akiijua tu ataiharibu lol!
 
Sidhani km mleta mada nia yake ilikuwa ni kusema ni kitu cha ajabu.nia yake ni kutangaza ana hizo pen na bei ni laki na nusu.


sio kitu cha ajabu siku hizi, kuna pen, kuna saa, kuna miwani etc zenye camera..china zimejaa kibao na zinauzwa kama njungu na wamachinga wa huko!
 
Back
Top Bottom